kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
wadau wa jf Niwasalimu wote mliomo humu...
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo la kuota mabaka mabaka yanayotokea baada ya vipele vinavyoota na baadae vikipasuka huacha mabaka meusi ambayo sasa yamekuwa ni karibia sehemu kubwa ya kufuan na kuzunguka shingo.......
Tatizo limekuwa kwa mda mrefu sana kama miaka kumi hivi had sasa mwanzon nliona kama sio tatzo ila kwa sasa nimeona sio kawaida hivyo naomba ushaur kwenu hata kama kuna dawa nitakayoweza kukutumia ili kuondoa tatizo NITASHUKURU sana...
Karibuni kwa ushaur na msaada juu ya hili.....