kutoka uwanja wa Mbowe karatu

Tanzania yetu ni moja, ukombozi ni wetu sote, CHADEMA ni mkombozi wetu pamoja, hakuna sababu ya kugombana. Tukosoane kwa amani tu ndugu zangu. TUNAELEKEA KWENYE TANZANIA HURU AMBAYO KILA MTU ANATHAMANI NA MCHANGO WAKE KATIKA UJENZI WA NCHI HII UTATHAMINIWA BILA UBAGUZI!.

KWA AMANI NA MAENDELEO = SUPPORT CHADEMA.

PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

WABHEJASANA , wadau wanaomba malizeni bifu yenu , hakuna haja ya kupigana madongo , Maana imeandikwa wagombanao ndiyo wapatanao .
 
Kweli nimeamini kuwa wananchi wameamua kuingia ulimwengu wa Digital na kuachana na Analog.kulingana na hali kama hii pamoja na kutumia pesa nyingi kuvuruga mambo basi Chadema ni Digital na CCM imebaki kwenye ulimwengu iliopita wa Analog(Naomba wadau kuanzia leo jina la CCM tulibadili kuwa ANALOG).
 
View attachment 77336Wataletaje update kwa umati unaouona hapo juu..hii ni aibu lakini utashangaa kesho hizi picha wata zi edit mpka utashangaa umati utakavyokuwa kumbuka picha za uwanja wa sheikh Amri Abeid walipokuja na yule jangiri hawakuwa na watu lakini kesho yake kwenye magazeti kulikuwa ni nyome nikabaki nashangaa wakati nilifatilia mwanzo mwisho mkutano wao...
mimi huwa nawashangaa magamba mkutano wao huwa hawaleti updates kutwa kushinda kwenye thread za CDM Nafikiri hawana mapenzi na Hilo chama lao la ccm wanataka kupiga hela tuu
 

Mdogo wangu Ndikwega tumeomba kwamba hakuna haja ya kugombana , ubwite bwa fiki gwa kukaja ?
 
hivi kumbe ndo mwenye hii id kazi atakuwa nayo.........................tunaanzia kijijini kwao
 
waelimisheni kuhusu kuhama kutoka analogia na kuingia digitali wajiandae
 
Hii ndiyo Chadema inayowanyima CCM usingizi,hakina wanahaki ya kukosa usingizi maana inatisha!
 
Makamanda mmeuteka moyo wangu,mwanangu nae anapagawa ati kuona izi picha
 
Unaangalia mpira lakini upo Karatu kwa kufatilia hii thread.
Usiniambie umeoteshwa kuwa ktk thread hii wamekuulizia ha ha ha!

Umempa za uso jamaa. Anaigiza kuwa anaangalia mpira ligi ya England, wakati yuko JF, tena jukwaa la siasa, hususan kwenye thread ya mkutano wa hadhara wa CHADEMA Karatu.

Tumtakie mkutano mwema maana anaonekana kuwa ni mshirika sema tu bado hajajitambua sawasawa. Ndiyo raha ya pipooooooooz, utaipenda tu ndani ya moyo, matokeo yake unaweza kushindwa kuficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…