hahahaahah..karibu karatu
Sikiliza Mkuu jaribu kujiheshimu,sioni kama uko sawa kwanza kwa kauli zako hizo,acha mdomo mchafu,humu ni jamvini eneo la wazi ambapo kila mmoja ana uhuru wa kuweka maoni yake,sio lazima usome maoni yangu na kuyajibu unaweza kusoma na kama yamekuudhi ukaacha lakini sio kuropoka kama unavyofanya,narudia acha mdomo mchafu na inavyoonekana unataka kuchakachua Thread,nadhani tumia akili zaidi za kichwani usiongozwe na hisia zako.
Lakini Mkuu umesoma maneno ya huyo jamaa aliyoyaandika? ana dharau sana na anataka kujifanya anajua kila kitu,tuko kwenye mada ya maana yeye anaanza kuleta matusi na maneno ya kashfa ili kuchakachua mada,mi namtaka aendele ili aipate haki yake.
hahahaahah..karibu karatu
Mkuu heshima kwako, naomba muanzishe thread ya hayo marumbano kama imeshindikana kusameheana maana kwanza mnaonyesha wote mko upande mmoja sijui hata mnacho gombania...Plsmasalia bwana acheni vituko na ninarudia teha we dada tumestuka kua mnatumia tunguri kwa hiyo hamtusumbui tena, unafiki wenu tushaijua njaa zenu tushazijua si mlituma kuleta migogoro feki chadema na kwa nguvu za Mungu mmeshindwa na mkiendelea mtateketea kabisa,. Cdm mbele kwa mbele nyuma mwiko.. Weka tunguri zako pembeni ndio ujiunge na makamanda bado unamdaa sana kijana achakutumikia wachawi
Pamoja sana mkuu, naomba mmalizi bifu na huyo kamanda mnajibishana nae kama karatu tumeweza kumaliza tofauti zetu itakuwa ya kwenu...crashwise nakukubali kazi zako jembe, endelea piga mzigo,. Apa magamba hayasogei yanachungulia tu na kubaki kuona aibu
Pamoja sana mkuu, naomba mmalizi bifu na huyo kamanda mnajibishana nae kama karatu tumeweza kumaliza tofauti zetu itakuwa ya kwenu...
Mkuu Crashwise Kama hujui WABHEJASANA ni gamba la kufa mtu acha kamanda amchanePamoja sana mkuu, naomba mmalizi bifu na huyo kamanda mnajibishana nae kama karatu tumeweza kumaliza tofauti zetu itakuwa ya kwenu...
nimesha rekebisha mkuu...