Kutoka Ofisini kwa Mzeebaba

Nime
View attachment 1651181View attachment 1651182View attachment 1651183
Harafu naona zile raba zake anazozikubali kwa mbaaaali
Nimependa namna Rais anavyoweka hiyo ofisi yake; ngoja nikwambie ofisi SENSITIVE kama hiyo, haihitaji mpangilio rahisi rahisi wa documents na mafaili, kiasi ambacho kinaweza kumpa "adui" urahisi wa kupata document au faili analotaka humo ndani. Ndiyo maana unaweza kukuta hata the so called file registry au file register inakuwa na machanganyiko ili kuzuia wizi wa taarifa nyeti. Hicho ndicho kinacho onekana humo ofisi kwa Rais wetu. In fact kwenye ofisi nyingine sensitive kama hiyo, unaweza usikute CHOCHOTE kwenye meza yake ila mwenye ofisi anajua nini kiko wapi na anaweza kukipata bila ku - hustle! Keep it up Rais wetu, kwani office management is a tricky science!
 
Katoa files zote kabatini kaweka mezani kwan anasoma zote kwa wakati mmoja ??
 
Nime-zoom nimeona kavaa raba za adidas, naiona monitor bila keybord wala CPU, mpangilio hauridhishi kwa kweli.
 
Vipi kuhusu maendeleo? Kiuchumi ikoje China?


Bila shaka na sisi tutakuwa kama china
Maendeleo ni jambo pana kidogo, wewe unapima maendeleo kwa kuangalia/kutumia nini? Jiwe ni laana kwa hiyo nchi.
 
Kuna huo wire hapo kutoka kwenye switch socket upo uchi uchi tu....fundi kashindwa kuweka pvc trunk ndogo tu hapo pawe smart...
Ofisi kubwa hiyo bana, fundi fanya hivyo
 
Wewe kweli hamnazo, unasifia mpaka ujinga[emoji848]
Unajua unaweza kula hata kinyesi cha jiwe ukidai ni chakula
 
Halafu hayo mafaili sio ya wale wanaomletea ili atie saini kunyonga ila anajifanya hayaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…