ni kweli nyumba kubwa.ndoa zina siri nyingi.kuna baba mmoja,mke wake ana matatizo,hana uwezo wa 6 kwa 6.basi amemkubalia mume wake awe na mtu wa kumridhisha.huyo mama akakukatana na huyo mwanamke wakaongea,na akamuambia amuheshimu mume wake.kwa hiyo wa nje ndio anaemridhisha huyo mumeUmeona eeh...
Haya mambo ya nyumba za watu ni magumu; haikawii wakawa wamekubaliana na mumewe kuwa wife atafute wa kumridhisha kwingine.
Kuna watu waume zao jogoo hapandi mtungi kabisa sababu ya maradhi (hasa kisukari)...wengine wanaamu kulinda viapo vyao na kutulia ...wengine hawawezi ndio maana wanafanya wafanyayo.
Unaweza kwenda kusema kikakushuka...