Kutoka Mwanza jiji hadi kutua DSM - Mbagala

Hapana, yenyewe upande huu karibu na Toangoma. Maana hata Kata yake ni Toangoma, kwenda Kigamboni na kwenda Mbagala ni faster sana. Ni kamji kadogo lakini baadae waswahili wote wale wataondoka.
UBARIKIWE SANA NA MUNGU KWA MOYO WAKO WA KUTOA ELIMU HASA KWENYE HILI JAMBO LANGU
 
Karibu sana Mkuu. Ukanda wa Temeke na Mbagala watu wanaudharau sana, lakini nikuhakikishie ni moja ya maeneo mazuri sana kuishi. Viwanja vingi viko sehemu ya Tambalale, hautakaa usikie watu wanalalamika kuhusu DAWASA upatikanaji wa maji ni uhakika na ni maji Fresh bila kutegemea DAWASA.

Pia upande wa chini wa Mji wa Vikunai kuna mto Mzinga umepita ambapo shughuli za kilimo zimekuwa zikiendelea kama kawaida (Kilimo cha Mpunga na Mbogamboga)

Kama unatazama vitu kwa Jicho makini utaweza kuona potential ya huu Mji.
 
We msukuma Acha kuingizwa mjini mbagala sio sehemu ya kuishi kwa mtu mwenye akili unaonekana unapenda uswahili majungu na uchawi huko wanaishi wamakonde kwani na ww umekuwa mmakonde mbagala ni sehemu ya ovyo ambayo imejaa squatter futi 40 kwa 40 kwani unataka kujenga nyumba au kitufe choo ovyo sana achana na mbagala hutokaa uendelee kamwe
 
Msukuma unamwambiaje aache uchawi, we unawajua Wasukuma kweli?
 
Back
Top Bottom