Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Tarehe 26 ipo kazi
Zitto wa zamani si sawa na huyu wa sasa,mnaomshabikia mtatafuta pa kujificha baada ya kuwatosa na kulalia kwa mafisadi! Ameshakuwa sehemu ya mfumo fisadi na wala tusitarajie lolote zaidi ya kuwasafisha wezi