TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,753
- 21,208
Moja ya njia zinazotumiwa na Serikali ya CCM kuwatumia wachungaji, masheikh nk kufanya kampeni kwenye vizimba vya siasa kwa kigezo cha kufanya sara na dua hakikubariki kwenye medani ya siasa.
Hizi ni njia za kulasimisha na kulainisha wapiga kura kuwaaminisha kuwa huyo ni rais na si mgombea wa nafasi ya urais.
Viongozi wenyewe wa dini wanaendesha dua kwa hofu kabisa na wwnaonekana kabisa wanakosa ule ujasiri tunaoufaham na wanaoutumia jwa waumini wao wanapokosa.
Hali hii inayotumiwa na CCM sidhani kqma inaweza kutumika upande wa pili wa vyama mbadala na ikitumiwa basi viongozi hao wataishi kwa wasiwasi sana, kwenye eneo lao la kazi.
Msema chochote wa ccm polepole anaongea kwa nguvu kutangazia umma kuwa hii ni sherehe ya kuazimisha miaka mitano ya magufuri ah !!.