Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

mnyaa anajibu eti sasa hivi mwanasheria,rais,waziri wote wa zanzibar wanatajwa tofauti na ule wa kwanza.na anasema wananchi wote walitoa maoni kupitia kwa mbunge.mia
 
Mnyaa: Maoni ya znz yaliyozingatiwa ni kupewa nguvu ya maamuzi kwa rais wa znz, mwanasheria mkuu wa znz na waziri wa sheria wa znz. Maoni yaliyoletwa bungeni ni maoni ya Chadema na siyo ya wapinzani wote.
 
mh huyu wa cuf hajajibu swali ni maoni yapi ya wa zenji yalitolewa. eti yeye ndo nwakilishi wa wa zenji khaaaaaaaa
 
Swali kaulizwa Tundu Lissu,
kwa nini wanatoka bungeni halafu mnachukuwa posho wakati hata kazi mliotumwa na wananchi hamkufanya?

Hilo hata mimi naweza kujibu ritz, ni kwa sababu daftari la mahudhurio ndilo linatotumika kulipa posho, na posho inakuwa kwenye account yako "automatically'. Spika na ccm yake waliambiwa mara nyingi watenganishe daftari la mahudhurio la posho lakini wakagwaya ili wapate cha kusema.

Lakini cha ajabu kwenye kikao hiki cha bunge baada ya CHADEMA kusema hawatashiriki wakati wa majadiliano ya muswada spika na wana-ccm wenzake wakaamua kutenganisha daftari. Hivyo nategemea ataendelea kutenganisha daftari kwenye vikao vijavyo. Kwa ujumla Spika wa sasa hana ubavu wa kuongoza bunge anatumia na watu wengine.
 
TL: ktk kamati nimepinga kila kitu ninachopinga sasa. Sio mm peke yangu ninayepinga. Kuwa ktk kamati kunakuwezesha kujua njama zote zinazopingwa. Kuhusu posho, posho hatukutani nazo, unazikuta pesa benki hata kama hujasaini. Watz, hawajui katiba ya sasa. Kuna vurugu kidogo
 
hawa jamaa walio vaa vibaragashia wanasumbua sana.wanapiga kelele,wanasimama,wamewambia watoke nje hawataki.mia
 
mnyaa anajibu eti sasa hivi mwanasheria,rais,waziri wote wa zanzibar wanatajwa tofauti na ule wa kwanza.na anasema wananchi wote walitoa maoni kupitia kwa mbunge.mia

Mnyaa sidhani kama ajua baraza la wawakilishi lilisema nini kuhusu huu muswada, Jumamosi iliyopita. Atapata shida huyu baba na sidhani kama atarudi bungeni 2015. Laiti angejua watu wa jimboni kwake wanasema nini!
 
MwanaCUF anatolewa nje.

TL: Maoni haya ni ya Chadema peke yao, sio ya kambi ya upinzani. Swala la mayalla-oooh! Bad or no signal!
 
Back
Top Bottom