Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makamuzi, Nov 20, 2011.

 1. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mdahalo umeanza
   
 2. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Namuona Tundu lissu ndani ya gwanda,habib Mnyaa
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Endelea kutujuza mkuu.
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mwenyekiti wa mdahalo ni rosemary mwakitange
   
 5. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,222
  Trophy Points: 280
  Yap wanaJF mdaharo ndo unaanza kwa Baruanı mhuza kumkarıbısha Tundu Lısu,Mbunge wa Mkanyagenı(Mnyaa) na mıss Mwakıtwange!
  Tuendelee kujuzana!
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ahaaa kazi nzuri, tujuze mkuu
   
 7. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mwenyekiti anasema wajadil kwa aman,anasema hii ni njia pekee ya wabunge kuanza na wapga kura,anaanza kuulza maswal
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante tujuze mkuu
   
 9. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Mwnykt(R.Mwakitwange): Kombani na Mwanasheria mkuu walitoa udhuru.
   
 10. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Mwnykt(R.Mwakitwange): Kusomwa mara ya 1 au 2 kuna maana gani?
   
 11. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Swal,2meshangazwa na mjadala wa muswada wa katiba kupelekwa mara ya pili,kuna tofaut gan kat ya mara ya kwanza na pil
   
 12. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tundu anasema sheria iliyopitishwa ni muhmu kuliko sheria yeyote,inatakiwa ikusanye busara ya wananchi
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mnyaa nilikuwa namheshimu sana zamani...huyu jamaa pamoja na unazi wake wa kizanzibar, yupo vizuri. Problem ni baada ya ndoa....kwisha kabisa.
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hivi huu mdahalo unahusu nini?
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hizi mijadala si wabunge hawitaki tena maana yapo yapo tu..
   
 16. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Tundu Lissu: Hii ni sheria muhimu sana kuliko sheria nyingine inayoweza kutngwa na bunge la sasa na hivyo ilipaswa kushirikisha wananchi. Kusoma mara ya kwanza maana yake mswada umechapishwa kwenye gazet la serikali na kupelekwa bungeni kwenye kamati husika na hatimaye kwa wananchi kabla ya kujadiliwa na bunge. Kulingana na maoni ya wananchi, kamati inaweza kutoa mapendekezo yatakayoifanya seriakli ifanye marekebisho.
   
 17. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kabla muswada kusomwa mara pili inatakiwa maoni ya wananchi yamechukuliwa,unaposomwa mara ya pili ni majadiliano ya wabunge
   
 18. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  T L: Kusoma mara ya 1 kunafungua mjadala wa wananchi na kusoma mara ya 2 kunafungua mjadala wa wabunge.
   
 19. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60


  unahusu hizi sheria za marekebisho ya katiba zilizopitishwa na ccm je nini maana yake na una makosa gani kwa kusomwa kwa mara ya kwanza au kwa mara ya pili?
   
 20. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kamati haijafanyia kaz ule muswada,kwan spika alizuia
   
Loading...