Kutoka mitandaoni 1

Kutoka mitandaoni 1

kwani wewe ulipoweka picha ya namna hii ulitegemea nini?

Mada za kuukashifu uislam zimezidi hapa jf siku hizi, siku moja kwenu nyingi. Na hii ni moja wapo mshana.

Nafkiri umenielewa..

My nauheshimu mchango wako...!!!! But trust me naongea toka rohoni Nina heshimu imani za wengine kwa kiwango cha juu kabisa na hii sikuwa na maana yeyote ya kuukashifu uislam, siwezi na sina faida nikifanya hivyo ndio maana nimejaribu kwa nguvu zote kuwazuia wale wote waliojaribu kuleta kashfa bila kujali imani zao
 
Naona kwenye picha Kuna maneno ya kiarabu ya kimuhamasisha ... Huyo bibi nae ameahidiwa mabikira 72 wa kiume.
David Harvey alichovaa huyu bibi ni vazi la kiarabu na hayo maandishi ni kiarabu tusihusianishe na dini tafadhali isije kutafsirika tunakashifu imani za wengine
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mshana jr Kila Mtu Anaruhusiwa Kutoa Maoni Kulingana Na Jinsi Anavyoyaelewa Mambo

Muislamu Yeyote Anaetumia Uislamu Wake Kuexercise Siasa Kali Ni Gaidi.Na Huu Ndio Ukweli Na Wala Sio Kashfa.

Tutaendelea Kuheshimiana Kwa Mambo Mengine.Lakini Kwa Matendo Yao Ya Kigaidi Hatuta Waonea Aibu.

Hata Humu Jf Kuna Waislamu Wanaotamani Kua Magaidi.Kwahiyo Tunawataka Waachane Na Mawazo Hayo Ya Kishenzi.Kwasababu Ugaidi Ni Ushetani

Karibia 90% Ya Vikundi Vya Kigaidi Duniani Kote Vinatumia Uislamu Kama Sababu Ya Kutekeleza Matendo Yao Ya Kigaidi.Na Huu Ndio Ukweli.Hakuna Sababu Ya Kuoneana Aibu Kukemea Vitendo Kama Hivi.Tukioneana Aibu Hatuwezi Kujenga Na Kukomesha Vitendo Hivi.
 
Nimekuelewa kaka
 
Last edited by a moderator:
Kiepe Yai waweza kuwa sahihi lakini kijijini nilikokulia mimi na ndugu za waislam tuliokuwa nao hawakua hivi, tuliishi kwa upendo na kuheshimiana mno kati ya wakristo na waislam na kwakweli tulikuwa na mipaka kwenye dini zetu

Ya waislam yalibaki kuwa ya waislam na ya wakristo yalibaki kuwa ya wakristo, na pale ilipotokea kuwa kuna haja ya kualikana na kushirikiana tulifanya hivyo bila shuruti wala unafiki na kwa uelewano hasa

Hii mambo ya kubaguana na kuitana makafiri, wagalatia, magaidi, kuua kwa jina la dini, ni vitu vipya kwetu na kwa hakika vina lengo maalum lakini baya kabisa kwa Tanzania ijayo

Ahsante kwa kumjibu vizuri.Tangu zamani na mpaka sasa Watanzania hatubaguani kwa Dini au Kabila- ni wamoja....Ukienda sehemu nyingi za Tanzania utaligundua hilo.Hawa wanaopenyeza mambo mengine sasahivi ni watu wenye nia mbaya wanaotaka kutugawa Watanzania.Na kamwe hawatafanikiwa.Shime kwa Watanzania kusimama imara kupinga kwa nguvu zote watu wote wanaotaka kutugawa kwa misingi ya dini zetu au kabila zetu.
 
My nauheshimu mchango wako...!!!! But trust me naongea toka rohoni Nina heshimu imani za wengine kwa kiwango cha juu kabisa na hii sikuwa na maana yeyote ya kuukashifu uislam, siwezi na sina faida nikifanya hivyo ndio maana nimejaribu kwa nguvu zote kuwazuia wale wote waliojaribu kuleta kashfa bila kujali imani zao

Unafiki wako tu.Unaleta picha ukifahamu kwamba itatumiwa kutukana imani za watu halafu una shed crocodile tears.Mbona huleti za maaskofu wa ki roman catholic wakilawiti watoto?Kujifanya diplomat wakati wewe ndio uliyesababisha hayo matusi. Hiyo picha ni mama mpiganaji wa kipalestina anayepigania haki yake.
 
Haya naona umeshatapika nyongo na imekupunguzia stress pole sana
 
Mkuu wala sio stress.Nachukia unafiki kwa kuficha matendo kwa justification ya maneno mazuri. I respect you lakini haina maana siwezi kukukosoa unapofanya makosa na vice versa.
 
Naona malumbano mengi, yaishe tufanye huyo bibi ni mkristo amevaa tu hijabu
 
Mkuu wala sio stress.Nachukia unafiki kwa kuficha matendo kwa justification ya maneno mazuri. I respect you lakini haina maana siwezi kukukosoa unapofanya makosa na vice versa.
Ngarna umekimbilia kunihukumu msimamo wangu uko wazi kwenye swala la UDINI na dini sijawahi kuwa mnafiki katika hili
Umeenda mbali hata kuwataja mapadri, Ngarna hili ni jukwaa la picha na caption niliyoweka sikutaja popote ishu ya UDINI hiyo picha kama ilivyo haisemi chochote cha UDINI tafsiri ya watu ndio tatizo
Sikaukashifu uislamu kwa namna yeyote ile na ndio maana nimekuwa tofauti na kila aliyejaribu kuihusisha na imani
Tuwe watu wa tafakuri jamani
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unaendelea ku justify ulichokifanya inawezekana bila kukusudia. Nikiweka picha ikiwa na vazi la dini husika kwenye jukwaa ambalo kwa muda sasa limekubuhu kwa kukashifu na kukejeli uislamu kwa maneno na picha utakuwa unategemea nini?Ili tusiendelee kulumbana naamini kwa dhati kabisa baada ya maelezo yako kwamba hukutarajia kwamba wajinga wata missuse picha uliyoibandika hapa. Ukimpa kichaa panga unategemea nini? Na vichaa wapo wengi JF.
 
Wapumbavu ni wengi hapa JF tena wa imani zote kwahiyo ndugu yangu Ngarna nje ya uislamu wako na nje ya ukristo wangu sisi ni waafrika hili halitakaa libadilike japo dini zinaweza kubadilika
 
Last edited by a moderator:
Ngarna punguza jazba na dini.
Hivi vitu vililetwa tu na wahuni wa huko nje visikuendeshe hivyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom