Kutoka Maktaba: Unamkumbuka huyu jamaa?

Kutoka Maktaba: Unamkumbuka huyu jamaa?

Juzi juzi nilimwona anahojiwa kwenye TV naona ni age flani imeenda japo si sana.
 
Daah... Mkuu asante sana mkubwa... Umenikumbusha mbali sana mpaka chozi likanitoka... Wayback primary school nilikuwa najiita Renegade au Lorenzo Ramas.... Dah..!!! Thanks sana.. Mengine niache tu.

usijali mkuu....
 
Mkuu umenikumbusha enzi za TV kwa jirani......beseni linawekwa mlangoni hakuna kupita mpaka unawe miguu tena itakate ndio uingie.....wenyewe wakitaka kula mnatolewa nje hadi wamalize kula ndio mnaingia tena mnanawa miguu upyaa...........dahhh.......Siku dingi aliponunua TV ilibidi home tuweke tafrija ya kujipongeza kwa mateso tuliyopitia.........lakini leo hii TV mpaka chooni zipo.......kweli tumetoka mbalii.............
 
Ha ha ha! Kitambo sana. Nakumbuka kipindi hicho mtaani kwetu nyumba zenye Tv ni chache mno. Mnafunguliwa dirisha mnaangalia ila hakuna kupiga kelele, maana mnakuwa mmejaa kwenye kadirisha kwa nje...utata unakuja tamthilia imefikia patamu mtoto wa mle anavuta pazia. Ilikuwa inauma lkn ndo hivyo tena! Kitambo sana.
 
Enzi za ITV ya kitambo.

Bila kusahau vichekesho vya akina MASAKUU
 
da lorenzo lamas ni hataree sana anagawa kichapo kama kawa aisee ni noma tamthilia nyinginezo ikiwemo point man jamaa aliyekuwa anapenda sana chini na chuck noris kwenye texas rangers
 
Back
Top Bottom