Kutoka Maktaba: Unamkumbuka huyu jamaa?

Kutoka Maktaba: Unamkumbuka huyu jamaa?

kipindi ambacho tv zilikuwa zikihesabika mtaani

Mkiwa ndani utasikia ongezeni basi sauti anayeongea humjui yaani hapo ni mpita njia kasikia gooo(goal) jamaa anasogea anachungulia dirishani, kombe la dunia ni shida hadi mwisho nanyi mmekwisha mtaa mzima wanahamia kwenu
 
maisha yalikuwa na upekee flani tofauti na leo
 
pia kulikuwa na The bold and the beautiful...

The young and the restless, neighbours, kitu kinaitwa accapulco bay hapo hakuna kulala, TV yenyewe ilikuwa.moja tu hiyo DTV na CTN wslikuwa wasindikizaji tu tena afadhali ya CTN kuliko DTV
 
The young and the restless, neighbours, kitu kinaitwa accapulco bay hapo hakuna kulala, TV yenyewe ilikuwa.moja tu hiyo DTV na CTN wslikuwa wasindikizaji tu tena afadhali ya CTN kuliko DTV

natamani siku zirudi nyuma...
 
kipindi hiko eti vijana wanaiba tv na deki ili waende Sauzi
 
Lorenzo Llamas.

Mambo ya ITV hayo enzi zileeee.
 
Huyu naye
 
Attachments

  • 1419886242523.jpg
    1419886242523.jpg
    28.5 KB · Views: 197
SunSet Beach.... ITV enzi hizo!
 
Attachments

  • 1419886864161.jpg
    1419886864161.jpg
    12.9 KB · Views: 181

Babylon 5, 21 jump street,family matters, perfect strangers....fresh prince of bell air, Robocop, Hard justice...nimekumbuka niko primary school lakini tulikuwa na Televisheni tayari
Na comedy ya 227
 
nani anakumbuka ile ya gari linajiendesha lenyewe? ilikuwa DTV au channel 10 nadhani. Usipime huo ubishi wake shuleni kama hilo gari lipo kweli au vipi.:becky:

Nadhani ilikua inaitwa night rider kama sikosei
 
nani anakumbuka ile ya gari linajiendesha lenyewe? ilikuwa DTV au channel 10 nadhani. Usipime huo ubishi wake shuleni kama hilo gari lipo kweli au vipi.:becky:

Iyo inaitwa knight rider na mwaka juz ilitoka muvie yake nzuri saaana
 
hapo kulikuwa na time trax, the point man, texas rangers na taka taka nyingine...

robocop ila timetrax nayo ilikuaga kali kinoma ya capt lambert,,enz hzo nlikua chalii af ht ngel ilkua haipand ila nlikua czikosii
 
[TABLE="class: cquote"]
<tbody>[TR]
[TD]“[/TD]
[TD]He was a cop, and good at his job. But he committed the ultimate sin—and testified against other cops gone bad. Cops that tried to kill him, but got the woman he loved instead. Framed for murder, now he prowls the badlands...an outlaw hunting outlaws...a bounty hunter...a RENEGADE.[/TD]
[TD="align: right"]”

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Back
Top Bottom