Kutoka Maktaba: Unamkumbuka huyu jamaa?

Kutoka Maktaba: Unamkumbuka huyu jamaa?

hapo kulikuwa na time trax, the point man, texas rangers na taka taka nyingine...

Babylon 5, 21 jump street,family matters, perfect strangers....fresh prince of bell air, Robocop, Hard justice...nimekumbuka niko primary school lakini tulikuwa na Televisheni tayari
 

Babylon 5, 21 jump street,family matters, perfect strangers....fresh prince of bell air, Robocop, Hard justice...nimekumbuka niko primary school lakini tulikuwa na Televisheni tayari

Umesahau "V" watu flani wanajiondoa ngozi. ...
 
Anaitwa Demichelis wa Man city kama sikosei au Shawn michael wa Dx world Wrestring ImageUploadedByJamiiForums1419874022.997764.jpgImageUploadedByJamiiForums1419874039.895111.jpgImageUploadedByJamiiForums1419874055.060182.jpg
 
nani anakumbuka ile ya gari linajiendesha lenyewe? ilikuwa DTV au channel 10 nadhani. Usipime huo ubishi wake shuleni kama hilo gari lipo kweli au vipi.:becky:
 
nani anakumbuka ile ya gari linajiendesha lenyewe? ilikuwa DTV au channel 10 nadhani. Usipime huo ubishi wake shuleni kama hilo gari lipo kweli au vipi.:becky:

hahaha steringi alikuwa anaitwa Michael, ile gari ilikuwa inauhusiano flani na saa ya jamaa
 
Back
Top Bottom