Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
- Thread starter
-
- #21
shikamoo mkuuaseee umenkumbusha mbali san mkuu,iyo solo tulikuwa tunangalia kw jamaa angu mtaani,afu iyo andha kanoon meangalia mar kibao hom hatar....kwanz nsawahi kuiba VHS ya iyo pich shulen kuna mwenzangu alikuja nayo,
Nilikuwa nampiga fix mwalimu wa tuition nalimbiza deni la wiki nzima hela naendea kwenye banda la masanja kuangalia movie zamani sana
Hahah,saw mkuu.shikamoo mkuu
but the only wayUmenikumbusha The hard way na Commando kipensi.
Nakumbuka Drive in, empire, starlight, empress, newchox na avalon.Ulikuwa wapi wakati movie hizi zikitamba
HahahahaAndhaa kaanoon
Forest kwa MwafongoKwa mponzi makunguru
Dah mkuu mama amasha bonge bonge wa maghorofani, mandenda je unamkumbuka?. umenikumbusha mbali sana, Nina wasi wasi tunafahamiana mkuu maana maghorofani ndo imenikuza.} Kwa Mambo- Mbata
} Mwarabu Soko Matola Quarters
} Mama Amasha Maghorofani Soko Matola
Red Giant nikumbushe pale Machinjioni palikuwa panaitwa kwa nani?
Chuma la machinjioni ni balaa, kipindi hicho mabaunsa wote wanatoka machinji na wachache kama akina bade ndo wanatoka nonde. Bolingo, baadae akaja sam video centre enzi zetu.sisi ilikuwa kwa Bolingo Majengo. tukitoka chinji saa nne tunapiga chuma, tunaoga, saa sita tunaenda kucheki 'picha' la mchana. Good old days.
Dah mkuu mitaa ya home hiyo, mkuu inaonekana ulikuwa mkali wa video show mbeya nzima enzi hiyo, nikumbushe mafiati Kuna ukumbi mtaa wa mwamfupe, achana na kilimanjaro ya maanga shuleni jirani na mwashingaForest kwa Mwafongo
Bade nimemkuta royal pamodz kipindi the inasumbua sana mbeya sijui yupo wapi sasaChuma la machinjioni ni balaa, kipindi hicho mabaunsa wote wanatoka machinji na wachache kama akina bade ndo wanatoka nonde. Bolingo, baadae akaja sam video centre enzi zetu.
Kwa MponziDah mkuu mitaa ya home hiyo, mkuu inaonekana ulikuwa mkali wa video show mbeya nzima enzi hiyo, nikumbushe mafiati Kuna ukumbi mtaa wa mwamfupe, achana na kilimanjaro ya maanga shuleni jirani na mwashinga