Kutoka Maktaba: Unakumbuka nini?

Nilikuwa nampiga fix mwalimu wa tuition nalimbiza deni la wiki nzima hela naendea kwenye banda la masanja kuangalia movie zamani sana
 
Nakumbuka mambo mengi sana.

Miaka hiyo tunaingia kuangalia Video kiingilio ilikuwa silingi 50 picha 2, kama huna unatafuta shilingi 30 unaingia picha moja.

Kama huna kabisa unawahi kufagia ukumbi unaingia free.

Ishu ilikuwa hapo kwenye kufagia ukumbi, tulikuwa tunapigania balaa, unaweza kutoroka skuli kuwahi kufagia ukumbi mida ya saa 7 mchana ukakuta mko kama 9 hivi wote mnagombea chance moja ya kufagia.

Enzi hizo tukitoka skuli mida ya saa 8 tunapitia kwenye banda la video tunaangalia trela kwanza kabla ya show kuanza saa 9 kamili.
 
aseee umenkumbusha mbali san mkuu,iyo solo tulikuwa tunangalia kw jamaa angu mtaani,afu iyo andha kanoon meangalia mar kibao hom hatar....kwanz nsawahi kuiba VHS ya iyo pich shulen kuna mwenzangu alikuja nayo,
 
} Kwa Mambo- Mbata
} Mwarabu Soko Matola Quarters
} Mama Amasha Maghorofani Soko Matola
Red Giant nikumbushe pale Machinjioni palikuwa panaitwa kwa nani?
sisi ilikuwa kwa Bolingo Majengo. tukitoka chinji saa nne tunapiga chuma, tunaoga, saa sita tunaenda kucheki 'picha' la mchana. Good old days.
 
Watoto wa leo wamebweteka kwenye play station
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…