Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

Hoja ya binti kutokutwa eneo la mshukiwa nahisi siyo ya kuitegemea. Kupimwa kesho yake....

Katika kesi ya Babu Seya ilisemwa kwamba mtoto akipimwa hata akikutwa na mchubuko tu ni inatosha kuprove tukio limetokea regardless kama alikutwa kwa mshukiwa.

Na binti anasema alihisi maumivu. Means binti ana michubuko, sperms? Zaweza ishi kwa siku tatu. So she has his DNA in her.

Hii yote kama wakikomaa ili ionekane jamaa kabaka aisee wataitumia (Nahisi) na wataprove.
Je Kama usiku huo alikutana mwingine au njiani wakati akirudi kwao.??
 
Ugumu unakuja kuwa anaesemekana amebakwa anakanusha, hapo hapo alifanya jilo tendo kwa hiari yake pasipo shuruti, lakini upande wa pili binti bado mdogo miaka 17 duh patamu hapo, hakimu mwenye akili atatoa maamuzi fair hapo, kwangu mimi mshatakiwa hana hatia
kama hasomi umri wa kuolewa umeshafika miaka 15

Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nakanusha hajamlaghai mtoto, mfano kwa ushahidi upi? , kama mtoto kakili ilikua ni hiari yake, na katoka kwao mpaka kwa mshatakiwa
Miaka 32 kwa miaka 17 ni wazi huyo wa miaka 32 amemlaghai, au hujui maana ya kulaghai???

Baba la miaka 32 linaweza kutumia mbinu nyingi sana kumrubuni mtoto hadi akajikuta ametumika kingono.
 
Ugumu unakuja kuwa anaesemekana amebakwa anakanusha, hapo hapo alifanya jilo tendo kwa hiari yake pasipo shuruti, lakini upande wa pili binti bado mdogo miaka 17 duh patamu hapo, hakimu mwenye akili atatoa maamuzi fair hapo, kwangu mimi mshatakiwa hana hatia
Utoto unaisha akifikisha miaka 18 sijui Kwa visiwani Ila bara kosa kilo palepale
 
Hahaaahaaa...... chalii angu mahakamani hawamalizi shauri Kama kikao Cha Kijiji

Hakuna sababu yeyote ya msingi inayoonesha kwanini hakimu ana-delay kuhitimisha kesi.

Imagine mchizi kashikiliwa sello na wakati demu kaishakiri kua aliridhia. Nacho shangaa ni slogan ya mahakama inayoshikilia kipindi cha uendeshaji kesi kua mtuhumiwa kukwepa kwepa ukweli na kuchelewa kukiri kosa ni kuisumbua mahakama na unaweza ukapigwa jackpot la miaka huko jela kutokana na usumbufu wako uliouleta

Sasa hapa naona kabisa mahakama ndio inaleta usumbufu kwa raia tena kwa makusudi tu.
 
kama ni kweli huyo binti kamponza kijana wa watu.
Binti yuko vzr ana andaa mazingira ya kumchomoa mwamba.
1. Kigingi no 1 Hajalazimishwa
2. Aje na No 2. Nilimdanganya miaka nikamwambia niko na 22.

Kwani ukitaka kumgonga mtu sasa inabidi uombe cheti cha kuzaliwa?
 
Miaka 32 kwa miaka 17 ni wazi huyo wa miaka 32 amemlaghai, au hujui maana ya kulaghai???

Baba la miaka 32 linaweza kutumia mbinu nyingi sana kumrubuni mtoto hadi akajikuta ametumika kingono.
Kwahiyo wewe ukitongozwa ukakubali kwa hiari yako tuchukulie amekulaghai, si ametongozwa kama mtu mwingine anavyotongozwa?
 
Miaka 32 kwa miaka 17 ni wazi huyo wa miaka 32 amemlaghai, au hujui maana ya kulaghai???

Baba la miaka 32 linaweza kutumia mbinu nyingi sana kumrubuni mtoto hadi akajikuta ametumika kingono.
Haya mambo sikuhizi hayafati itifaki, usishangae kuona golikipa kafunga hatrick halafu washambuliaji wametoka kapa

Miaka 17 sio mtoto, huyo ni demu na ana experience ya wanaume na unaweza ukawa una lakujifunza kuhisu mapenzi kupitia yeye
 
Ni kweli lakini kisheria za dunia miaka 17 ni mtoto hadi afike miaka 18.
 
Ni kweli lakini kisheria za dunia miaka 17 ni mtoto hadi afike miaka 18.
Imagine huyo binti mwezi wa saba alikua anatimiza mwiaka 18 na tukio la kuingiliwa lilifanyika mwezi wa 6 mwishoni.

Je utahitimisha kua alibakwa kwasababu hata kama amekiri kua alifanya kwa kupenda ila kauli yake haizingatiwi kwasababu alikua ni mtoto?

Alafu vipi kama akisema saizi nimetimiza miaka 18 so akaendelea kusisitiza kua hakubakwa. je na hapo hutamuelewa wakati kaisha timiza 18yrs?
 
Tukio lilifanyika akiwa ana miaka 17 hapo ndio tunapoangalia, chini ya miaka 18 ni MTOTO kwa hivyo amerubuniwa na kubakwa....

Kusema kua ametaka mwenyewe hakufuti kua amebakwa pengine mtuhumiwa alimtisha kua aseme ametaka mwenyewe bila hivyo atamfanyia kitu kibaya?

Hili ni funzo watu mtembee na agemates wenu, miaka 32 kwa miaka 17, damn!
 
Back
Top Bottom