Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

With or without her consent ukifanya nae wa miaka 17 ni kosa? Hata kama ni kwa hiari yake na furaha zake ambayo ndiyo with consent? Basi mshatakiwa hapo anagongwa miaka, ila kuna hile inaitwa hakimu pia anaweza tumia jicho lake au maono yake ili kupata haki na usawa ampige hata faini tu itatosha
Hakuna fine hapo
 
Huyo dogo ni expert, hakimu kaambiwa ukweli lakini kwa makusudi kaamua kutia ugumu utafikiri ni mtoto wake kafanyiwa kwanini asihitimishe wamuachie mshtakiwa huru
hata kama ni kweli lakini haitakiwa kufanya mapenzi na binti alie chini ya miaka 18 hata kama alitaka mwenyewe, sasa hakimu atamuachia vp wakati binti ni under age? yani huyo jamaa ana kosa la kujibu iwe kweli au si kweli sababu ya age ya binti
 
Hapa unakaribisha marekebisho ya sheria
Washushe tu mkuu we kama vitoto vya miaka 7 tu vinashikwa vimeshaanza kupandana itakuwaje kwa binti wa miaka 17 anaerudi gheto na kuvua bila uoga..😅
Washushe tu sahivi elimu ipo wanauelewa wa kutosha hao..
 
Washushe tu mkuu we kama vitoto vya miaka 7 tu vinashikwa vimeshaanza kupandana itakuwaje kwa binti wa miaka 17 anaerudi gheto na kuvua bila uoga..
Washushe tu sahivi elimu ipo wanauelewa wa kutosha hao..
Kutokana na utandawazi ulivyo, na namna watoto wetu wameshaharibika kutokana na jamii ya sasa na mitandao inavyotumika, ninaunga mkono hoja yako washushe mpaka miaka15, miaka 17 vitoto vya siku hizi vinajua mambo mengi sana kutushinda watu wazima
 
hata kama ni kweli lakini haitakiwa kufanya mapenzi na binti alie chini ya miaka 18 hata kama alitaka mwenyewe, sasa hakimu atamuachia vp wakati binti ni under age? yani huyo jamaa ana kosa la kujibu iwe kweli au si kweli sababu ya age ya binti
Halafu hili la under18 ukianza kuchunguza nowdays utaona jinsi gani limekua ignored na ndio maana saizi hata ukiwa na 17 unaruhusiwa kujiandikisha kupiga kura.

Sasa unakuta binti mwezi wa 8 huu ndio anatimiza miaka 18 halafu tendo alilifanya mwezi wa sita kwaiyo unaamini hii miezi miwili aliyokaa ndio kakomaa kufikia utu uzima na kabla ya hapo alikua mtoto?
 
Huyo dogo ni expert, hakimu kaambiwa ukweli lakini kwa makusudi kaamua kutia ugumu utafikiri ni mtoto wake kafanyiwa kwanini asihitimishe wamuachie mshtakiwa huru
Aachiwe huru tu? japo kafaini.
 
Very good umewaza kama nilivyowaza yani hapo hakimu atumie jicho lako na utu wake kuwaangalia anatoaje adhabu, japo hata faini kwa mshatakiwa, asipigwe mvua,
Naona kwa kuwa kuna hisia kat yao. Jamaa anawezs kuukabidhiw ,awe mkewe. Wazaz wengi huwaza hili.
 
Kwa hiyo miaka 17 kama ingekuwa nchi zilizoendeleaa ndo kungekuwa na kesi ila kwa Afrika hamnaa kesi hapo
Tena nchi zilizo endelea ndo kabisaa wasinge fika huko mahakamani pengine kesi ingeishia serikali za mitaa na mshtakiwa kuibuka mshindi
 
Kutokana na utandawazi ulivyo, na namna watoto wetu wameshaharibika kutokana na jamii ya sasa na mitandao inavyotumika, ninaunga mkono hoja yako washushe mpaka miaka15, miaka 17 vitoto vya siku hizi vinajua mambo mengi sana kutushinda watu wazima
😂😂 Ngoja waje waanze na sisi we tushauliane tu kumbe wanatuchora..🤣
 
Back
Top Bottom