Kutoka mahakamani Arusha ~ Kesi ya CHADEMA

Kutoka mahakamani Arusha ~ Kesi ya CHADEMA

I agree with you, Lema (Arusha City) Sugu (Mbeya City), Heche (Mwanza City)?. Sasa limebaki city gani tena ambalo halichachukuliwa?

Magari mabovu yanavutana!
 
Hakika wanainchi wamechafukwa na mioyo hakika wanainchi wa hp A town hawadanganyiki tena na nawahakikisha ya kwamba kile chama cha magamba kinachoenda na jina sisiem ambao wameshafanyaga hapa A town kambi yao,nakwambia wajisahau kabisa. Kwa hali hii naweza kusema VIVA CHADEMA,na nimewaona wakiimba nyimbo ya ujasiri na hata ukombozi. Hakika Nguvu ya UMMA ni tishio wajamen!
 
Wanaharakati makini walio ndani ya CDM, Zitto na Mnyika, huwezi kuwasikia kwenye mambo ya kipuuzi. Wanajua wanachokifanya.
Ndio maana huwa nasema na nitaendelea kusema, CDM ina watu wawili tu wenye akili. Hebu CDM jipangeni tena.

Hawa waliingia CDM kimakosa. Na Zitto yupo kwa muda tu, 2015 tupo naye kwenye Chamadume.
 
Kesi imehairishwa. Wanaharakati na wananchi wanaelekea maeneo ya national houses ngarenaro kufungua ofisi mpya ya mkoa na wilaya kwenye jengo jipya.

Mliopo arusha karibuni maeneo hayo.
ngurati ukiweza tuwekee picha ya hiyo ofisi mpya maana najua itakuja kuwa pivot ya ukombozi Tanzania.
 
Natamani hawa wahuni wahukumiwe hata miaka 5 jela ili turudie uchaguzi.
 
ngurati ukiweza tuwekee picha ya hiyo ofisi mpya maana najua itakuja kuwa pivot ya ukombozi Tanzania.

Vipi ile ofisi yenu ya kuuza matikiti maji, inaendelaje?
 
Natamani hawa wahuni wahukumiwe hata miaka 5 jela ili turudie uchaguzi.
Muhuni ni ww! urudie uchanguzi unajua gharama zake ww? Hata uuuze Tigo miaka kumi, huwezi lipia hizo gharama!
 
Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea.
Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali akiendelea kusoma mashtaka ya washtakiwa ghafla wananchi waliopo ndani na nje ya mahakama wakashanhilia kwa makofi, vifijo, na klele pale msoma mashtaka alipsema
"mshtakiwa wa nne lema, aliendela kunishana na polisi akiwaambia kazi Yao sio kuzuia maandamano Bali ya kuyaongoza na kuyalinda"

mshtakiwa wa tatu philemoni ndesamburo akihutubia, aliwaambia polisi, kikwete anaanza kuandika historia ya vurugu nchini, kikwete huna baba? Unatupiga mabomu wakati mkoloni hakutupiga mabomu? Unataka kushindana na ndesamburo kwa hivi vipolisi ambavyo maisha Yao yamechakachuliwa? Kikwete hutaziweza vurugu za ndesamburo"

ghafla vifijo vikaamka tena, wananchi wakashangilia wakisma ....kweli..... Kweli....


Hii picha tamu sana. Nitawajuza.

hiyo nzuri, siasa hadi mahakamani
 
Hizo Ofisi zimejengwa na chama au zakupanga? Ningependa kama zimejengwa na CDM ili kujiimarisha zaidi. Ombi langu ni kuwa tusiishie Atown tu bali ofisi zijengwe kila mkoa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama, ni imani yangu kwamba hili linawezekana kwa kutumia ruzuku&michango.
Tunashukuru kwa kutujuza yaliyojiri usiache moyo huo siku nyingine.
 
Giddy Mangi usijisumbe na upupu wa Ritz maana ninarudia tena kumshauri apime fuvu/akili yake ili aweze kusaidiwa dawa. Ritz iwapo unaishi Bongo tafadhali tembelea hospitali yetu ya vichaa iliyopo mkoani Dodoma, inaitwa Mirembe. Panda basi la Shabiby ukuifika Dom tafuta driver taxi akupeleke lakini nakushauri uwe na mtu wa kukusindikiza ili ukilazwa ndugu zako wapewe taarifa. Iwapo unaishi majuu i.e. USA, UK etc basi tembelea clinics za mental disabilities kwa vipimo na dawa. Wewe Ritz uliona wapi polisi wakauwa raia wasio na silaha bila kushtakiwa kwa manslaughter? Pamoja na wauwaji wa Major General Imran Kombe kuachiwa majuzi lakini walishtakiwa kwa maslaughter. Ila kama upo Bongo uwe makini maana vijana wenzanko wana HAMU sana na wewe. Tafadhali chukua tahadhari na zingatia ushauri wangu wa kupima mental sanity yako haraka na mapema ili uwe timamu kwa 2015.
 
Hii kesi sijui itakuwaje tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom