Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
Zitto hawezi kushindana na taasisi akashinda.uanachama haupiganiwi mahakamani.mwisho wa cku atashindwa tu.
 

jinsi unavyo report unaonyesha tu kuwa unaongozwa na ushabiki.ila la msingi ni kwamba,tuache sheria ichukue nafasi yake,maamuzi ya mahakama ni vyema yaka heshimiwa kwa nyie nyote mlioko ktk eneo la tukio,awe zitto ama wapinzani wake
 

Umejipa kazi ya kutetea maiti? umelipwa ngapi,au ndo zile buk7?
 

Na hilo nalo ni la kuripoti?Hao wapuuzi si watakuwa wamepewa script na HANDLERS wao ya nini wafanye mara wakimuona Zitto?Am not pro Zitto anyway,am just a somebody who is dying to see justice done to anyone regardless who they are.In this case Zitto,Mbowe and Dr Slaa who are all facing accusations they should be judged & punished equally!Am for justice.
 
Watu wa type hii Chadema wako wengi, walianzia kutumika kama dodoki, kasha kama dekio, then kama tp, sasa wanatumika kama hiyo kwenye bold, mwisho watatumika kama pe..!, wote hao mwisho wao ni kwenye bin tuu!.Pasco

Habari za Mattaka ni kweli. Njaa mbaya
 
Wewe mwenye kujua ndie yakupasa unijuze na mimi, nikazi gani aliyo tumwa Zitto? Na akina nani walio mtuma?

Kukivuruga chama ni kaz aliyopewa.....haijafanikiwa na ndio maana leo hii ccm wanatetea Zitto kufukuzwa uanachama.Imekula kwenu
 
Unaweza kuwa unamchukia sana Zitto Kabwe lakini kwa hili sio yeye. Ni katiba ya chama na taratibu za kisheria. Kama kuna mashauri mawili yenye mahusiano na moja wapo lipo kwenye vikao vya juu ni lazima limalizike kwanza na ndoo la pili lianze. Kamati kuu kwanini iwe na wasiwasi na hoja inayokwenda baraza kuu. Kama kweli imetenda haki?
Tuache ushabiki, mwenyekiti aitishe baraza maamuzi yafanyike then tujue mbichi na mbivu.
Na mashabiki mujiandae kisaikolojia kupokea maamuzi ya baraza. Yanaweza yakamfurahisha Zitto au yakaifurahisha kamati kuu.
Lets wait and see
 
Ni MwanaCDM gani asiyetambua lengo lake kwa chama hadi sasa? kazi aliyotumwa kuvuruga chama imeshamshinda na anawaogopa waliomtuma hasa akifikiria pesa nyingi walizompa!
Kwaushahidi gani unaomtia hatiani bw Zitto kua katumwa kukivuruga chama? Ni akina nani walio mtuma? Mbona ktk yale makosa 11 anayo shtamuwa nayo hilo la kutumwa kukivuruga chama halipo? Acheni kumezeshwa mambo kama watoto wa ndege nyie.
 
Kazi gani tena? Unachoongea unakijua/ uhakika nacho au umemezeshwa na akina Mbowe?
CDM hatumtaki msaliti, mpeni uwaziri labda atawasaidia.... Ngoja tuone Mahakama itakavyomsaidia kulinda vyeo vyake ndani ya CDM isiyomuhitaji msaliti huyu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…