Kutoka magazetini: kifo cha Mandela chafunika sherehe za uhuru..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,288
1,195
Nilikuwa nafatilia habari toka magazeti ya leo kupitia Channel Ten, nimesikitika sana kwamba kati ya magazeti makuu yote kama nitakavyoyaorodhesha, hakuna lililoweka habari ya siku ya uhuru wa Tanganyika kwenye ukurasa wa mbele (front page), achana na kuifanya habari kuu, badala yake habari kuu (main story) imeonekana kuwa kifo cha Mandela.. Magazeti hayo ni:-
NIPASHE
TANZANIA DAIMA
DAILY NEWS
THE GUARDIAN
RAI
JAMBO LEO
HABARI LEO
ZANZIBAR LEO na
UHURU

SWALI: Mandela ni zaidi ya uhuru wetu??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom