cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,634
Wezi wanajulikana wapo kwenye chama gani.bavicha hawapendi wanaopiga vita wezi.
Chama kinachozalisha, kuratibu na kulea wizi, ufisadi, udhalimu, rushwa, ubadhirifu na uvunjifu wa haki za binadamu kinafaamika.