Kutoka kwa jpm Kilimanjaro

Shain kaongeza mshahara kima cha chini toka 150000/= hadi 300000/= sijui atasemaje maana kila kona mtu anasema mambo magumu
 
Acha ukabila hamtafika nao kokote
Acha fitina wale jamaa hawana ukabila wangekuwa wakabila wasingekuwa wametapakaa ndani ya nchi na nje tena wakikimbiza kwelikweli

Watu wa K'njaro wanapigwa mawe sana hasa na viongozi waandamizi wa chama tawala kwasababu ya mafanikio makubwa waliyonayo,sio kwamba nawasifia ila na fananisha na watu wa huku kwetu chato.
 
Back
Top Bottom