Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,740
- 50,142
Ha! Ha! Ha! Ha!Hivi huu uchawi mnaosifiwa Kigoma mnashindwa hata kuwashusha mabusha tu hawa mashetani?
Ha! Ha! Ha! Ha!Hivi huu uchawi mnaosifiwa Kigoma mnashindwa hata kuwashusha mabusha tu hawa mashetani?
Wewe ni choko tu.Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?
Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.
Amri!
Acha upashkuna weye solar panel!Hakushiriki uhuni wala hakujiteka.Alitekwa na mijitu mihuni.Mahakama pasina shaka imemuona hana hatia.Karunguyeye!Pole sana ukiwa binadamu usijichanganye na mashetani yatakushawishi katika mipango ya hovyo mwisho wa siku yatakuwacha ni mungu pekee ndio amekusaidia!
wewe unapigia kelele wapi? hapa tu una fake IDDogo pole sana na hongera sana kwa kutetea Haki ya Akwilina, bila shaka wazazi wa Akwilina hawatokusahau Kamwe, maana ulionyesha kujali kutoka moyoni wakati madhalimu wakitunga kila aina ya uongo ili kujisafisha.
Dogo rudi shule, tulia na maliza kitabu LAKINI KAMWE CHANGAMOTO HIZI ZISIKUNYAMAZISHE FOR THE REST OF YOUR LIFE. endelea kupigania haki na kuipiga vita dhulma popote itakapojitokeza!
Kucompromise haki na kutetea uwongo huwa ni ponyo ya muda mfupi tu lakini ni anguko la nafsi milele. Kwa mfano Mwigulu aliyeshadadia wewe Utiwe Kashkash Leo hii YUKO WAPI?
Huyu anatafuta wateja Kona baa hapa sinza Mori!Haha wewe ulikuwa unafanya nini muda huo?
Hata wewe una ID fake!!hapa tu una fake ID
Hata wewe una ID fake!!
Hoja yangu hapa ni hii, kama wewe Muunga mkono serikali na CCM umejificha nyuma ya ID fake unatakaje mpinga Serikali na CCM awe kwenye jina halisi katika zama hizi za kutekana na kuuana. Huoni wewe ndiyo hujanielewa!!sijashauri mtu kitu nisichokiweza, nakuwa muongo wa nafsi. naona umerukia treni kwa mbele
pu. pu. mbav.u .u.u.u.Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?
Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.
Amri!
???????Hata ulichopata ni ELIMU tosha.
Siku nyingine Ogopa kutumika.
Hoja yangu hapa ni hii, kama wewe Muunga mkono serikali na CCM umejificha nyuma ya ID fake unatakaje mpinga Serikali na CCM awe kwenye jina halisi katika zama hizi za kutekana na kuuana. Huoni wewe ndiyo hujanielewa!!
Jibu hoja wewe, Kama wewe Muunga mkono wa serikali uko kwenye jina bandia, unatakaje mwenzio naye awe kwenye jina halisi.depressed person
CDM hawakutaki. CCM hawakutaki hemaphrodite
usipojibiwa unafanya nini? unaingiza sh ngapi?Jibu hoja wewe, Kama wewe Muunga mkono wa serikali uko kwenye jina bandia, unatakaje mwenzio naye awe kwenye jina halisi.
Kunguru wa Lumumba sijui wakoje!!