Kutoka kwa Abdul Nondo

Kutoka kwa Abdul Nondo

Na mimi nikiitwa MSALITI naomba mje mnitetee Mkuu. Nakipenda chama changu!
 
Habari watanzania.

Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezimungu,kwa kunisimamia na kunilinda mara zote,natoa shukrani zangu za dhati kwa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu (THRDC) chini ya mkurugenzi wake Onesmo Olengurumwa Kwa kusimamia uendeshaji wa kesi yangu kuanzia mwanzo hadi mwisho, bila kusahau kituo cha haki za binadamu Tanzani (LHRC),pia shukrani zangu za dhati kwa Mawakili wangu Jebra Kambole(based in Dar) na Chance luogo(based in Iringa).kwa uwezo wao wa utetezi imara katika kesi yangu,na kusimama kwangu pia kama washauri na wafariji kwangu Mungu awabariki sana.

Pia napenda kutoa Shukrani za dhati kwa viongozi na wanachama wenzangu wa TSNP ,pia ndugu zangu,jamaa , marafiki na watanzania wote kwa maombi yao,faraja na matumaini kwangu,Mungu awabariki sana.

Mwisho,napenda kupongeza Mahakama ya hakimu Mkazi Iringa kwa kutenda haki kwa kufuata sheria na taratibu zote katika utoaji haki,bila kusahau nawashukuru pia wanasheria wa Serikali (State attorneys) kwa kuleta mashahidi wao kwa wakati kufanya kesi yangu kuwahi kuisha ndani ya miezi 9.

Nilisimamishwa chuo kutokana na sheria iliyopo ,sasa kesi imeisha namshukuru Mungu,utaratibu rasmi utafanyika mimi kuendelea na masomo hilo ndio jambo kubwa lilopo mbele yangu,kuhakikisha namaliza masomo yangu salama kwa muda uliobaki (one semester)

Sina nia ya yeyote ya kufungua shauri ,au kuomba madai kwa mtu yeyote au taasisi yeyote hili kwangu sio jambo la msingi ,na sina chuki na Mtanzania yeyote, au taasisi yeyote yote yametokea yametokea(Forward Ever Backward Never).Namshukuru mwenyezimungu kwa yote.

Nawaomba watanzania wote ,au taasisi yeyote kwa kipindi nilichokuwa katika changamoto kama niliwahi udhi au kukosea yeyote naomba radhi naomba kusamehewa .mniruhusu kuanza maisha yangu yakawaida kwa upendo na amani.

Hakika nina upendo wa dhati kwa kila Mtanzania ,kwa Taasisi yeyote, kiongozi yeyote ,bila kujali rangi,dini,kabila au chama cha siasa.

Mungu atujalie Afya njema,upendo na amani kwa maslahi ya jamii yetu na Taifa letu kwa ujumla.

Wako.

Abdul Omar Nondo.
abdulnondo10@gmail.com

Mwenyekiti mstaafu wa TSNP.
Hata ulichopata ni ELIMU tosha.
Siku nyingine Ogopa kutumika.
 
Pole sana ukiwa binadamu usijichanganye na mashetani yatakushawishi katika mipango ya hovyo mwisho wa siku yatakuwacha ni mungu pekee ndio amekusaidia!
 
Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
Shetani mkubwa wewe, na huna muda utanyooka
 
Nondo umewaaibisha sana. Ww ni kielelezo muhimu cha vijana wa taifa tunalolitaka. Uzidi kuwa imara na nakuombea ujiajiri/uajiriwe kwenye mashirika ya uanaharakati
 
Nondo vs wasiojulikana
Screenshot_2018-11-05-21-16-07.jpeg
 
Habari watanzania.

Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezimungu,kwa kunisimamia na kunilinda mara zote,natoa shukrani zangu za dhati kwa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu (THRDC) chini ya mkurugenzi wake Onesmo Olengurumwa Kwa kusimamia uendeshaji wa kesi yangu kuanzia mwanzo hadi mwisho, bila kusahau kituo cha haki za binadamu Tanzani (LHRC),pia shukrani zangu za dhati kwa Mawakili wangu Jebra Kambole(based in Dar) na Chance luogo(based in Iringa).kwa uwezo wao wa utetezi imara katika kesi yangu,na kusimama kwangu pia kama washauri na wafariji kwangu Mungu awabariki sana.

Pia napenda kutoa Shukrani za dhati kwa viongozi na wanachama wenzangu wa TSNP ,pia ndugu zangu,jamaa , marafiki na watanzania wote kwa maombi yao,faraja na matumaini kwangu,Mungu awabariki sana.

Mwisho,napenda kupongeza Mahakama ya hakimu Mkazi Iringa kwa kutenda haki kwa kufuata sheria na taratibu zote katika utoaji haki,bila kusahau nawashukuru pia wanasheria wa Serikali (State attorneys) kwa kuleta mashahidi wao kwa wakati kufanya kesi yangu kuwahi kuisha ndani ya miezi 9.

Nilisimamishwa chuo kutokana na sheria iliyopo ,sasa kesi imeisha namshukuru Mungu,utaratibu rasmi utafanyika mimi kuendelea na masomo hilo ndio jambo kubwa lilopo mbele yangu,kuhakikisha namaliza masomo yangu salama kwa muda uliobaki (one semester)

Sina nia ya yeyote ya kufungua shauri ,au kuomba madai kwa mtu yeyote au taasisi yeyote hili kwangu sio jambo la msingi ,na sina chuki na Mtanzania yeyote, au taasisi yeyote yote yametokea yametokea(Forward Ever Backward Never).Namshukuru mwenyezimungu kwa yote.

Nawaomba watanzania wote ,au taasisi yeyote kwa kipindi nilichokuwa katika changamoto kama niliwahi udhi au kukosea yeyote naomba radhi naomba kusamehewa .mniruhusu kuanza maisha yangu yakawaida kwa upendo na amani.

Hakika nina upendo wa dhati kwa kila Mtanzania ,kwa Taasisi yeyote, kiongozi yeyote ,bila kujali rangi,dini,kabila au chama cha siasa.

Mungu atujalie Afya njema,upendo na amani kwa maslahi ya jamii yetu na Taifa letu kwa ujumla.

Wako.

Abdul Omar Nondo.
abdulnondo10@gmail.com

Mwenyekiti mstaafu wa TSNP.
Unafki huu, mtu kama Mwigulu Nchemba na Bashite unaachaje kutokuwa na kinyongo nao?

Hawa mashetani wawili unapaswa kuirithisha hii chuki kwao kwa vizazi saba.

Hivi huu uchawi mnaosifiwa Kigoma mnashindwa hata kuwashusha mabusha tu hawa mashetani?
 
Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
atutaki kujua wewe ni nani....wacha ufala uo u nani wako hautusaidi kitu
 
Pole sana kijana! Ndio maisha yalivyo.
 
Unafki huu, mtu kama Mwigulu Nchemba na Bashite unaachaje kutokuwa na kinyongo nao?

Hawa mashetani wawili unapaswa kuirithisha hii chuki kwao kwa vizazi saba.

Hivi huu uchawi mnaosifiwa Kigoma mnashindwa hata kuwashusha mabusha tu hawa mashetani?
Ameandika tu ila kuhusu chuki msome katikati ya mistari utajua.Binadamu wa nyama na roho utendwe uache kuchukia?What a freak!Ila,yawezekana hajajua kupambanua kati ya chuki na kuchukia.Lemme go to sleep,again!
 
Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
Pumbavu!
 
Back
Top Bottom