Kutoka kufundisha hadi kuwa IT

Kutoka kufundisha hadi kuwa IT

Hivi unazani kwanini watu wenye pesa wanapeleka watoto wao kwenye shule zenye mitaala ya nje (Cambridge curriculum)

Huko ndiko watoto wanajengewa self confidence and And watoto wanakuwa vizur upande wa Science

Mtoto wa miaka 10 huko anakufanyia presentation ya kitu hadi unapenda, au ata mtoto wa form four shule zetu hawez kukipresent same way
Yaah kuna dogo wa form 2 alimkalisha mwenzake ambaye ndiye anamalizia mitihani ya kidato cha 4 wiki hii kwenye swali la current electricity niliona utofauti wa private na kata.
 
Huwa nafatilia sana kipindi cha Child Genius UK kinarushwa Discovery Family ni watoto wa miaka 12 tu ila uelewa walio nao katika hesabu, uchumi na sayansi huwa nasema sisi hadi kufikia tunaunda hata printed circuit boards hao watakuwa mars.
Hatari sana mkuu nadhani ndio maana umeelewa kwanini nikatupa lawama kwa serikali.
 
Back
Top Bottom