Kutoka kufundisha hadi kuwa IT

Kutoka kufundisha hadi kuwa IT

N vyema ungefafanua pia unachokielewa wewe mkuu ningefaidika kuliko kuishia kumcriticise mwenzio bila any new idea
Namfahamu mtu alisoma CIVIL Engineeringa akiwa FTC, lakini baadaye kwenye BSC akabadili na kusoma Electrical..!! Vile vile namfahamu yule bosi wa NBC Bwana Theobald Sabi, alisoma Electrical Engineering pale UDSM, lakini kwa sasa yupo na makolokocho ya mambo ya bank. Ndo maana nikasema sina uhakika na huko kwenye IT
 
Okay mkuu ngoja nifuatilie maana m nachotaka n kuukimbia ualimu nmechoka kupiga chaki na kukomaa na maphysics huku watoto hawayaelewi
 
Hahaha ndo wasaidie waelewe ndo umeitwa kutuletea wakina Tesla wengine watatue changamoto. Ila kwa ushauri wangu ungesoma IT ata OUT au hizo professional certification kwasababu umeeleza umesoma BD ya math & IT.
 
Ndo nafikiria mkuu nianze intake ya April aisee niwe tu na bachelor mbili, Sina uwezo wa kukibadirisha hiki kizazi kuipenda physics[emoji2]

Correction n Physics and IT
 
Okay mkuu ngoja nifuatilie maana m nachotaka n kuukimbia ualimu nmechoka kupiga chaki na kukomaa na maphysics huku watoto hawayaelewi
Mkuu umenichekesha na pia nimesikitika kwa wakati mmoja daah
 
Ndo nafikiria mkuu nianze intake ya April aisee niwe tu na bachelor mbili, Sina uwezo wa kukibadirisha hiki kizazi kuipenda physics[emoji2]

Correction n Physics and IT
Okay sawa kabisa hapo nadhani itakaa poa, ila mbona takwimu zinatuambia vijana wetu physics na mathematics wanafanya vyema?
 
Mkuu unazungumzia physics ipi, hii ambayo shule zote za serikali halmashari nzima A za physics hazifik 50[emoji2][emoji2]

Vijana sahv hawapendi kabisa kujituma and wanakuja na notation kuwa n masomo magumu hayo dah kwa hyo tabu kweli kweli ndugu yangu
 
Nimesikitika namba ya vijana wetu kutokuelewa masomo ya sayansi. Inaumuza sana. Yote lawama kwa serikali yetu.
Sana mkuu inaumiza mno, Miundo mbinu ya hizi shule zetu sio rafiki kabisa majengo yapo vitendea kazi hakuna, but kila mwaka bajeti za kuongeza madarasa zipo but bajeti za kuongeza vifaa vya kujifunzia masomo ya sayansi hakuna tabu sana
 
Lakini mkuu lawama kwa serekali kwanini, siyo pia hata sisi wazazi tunachangia kuwafanya hawa vijana kutofanya vyema?
 
Sana mkuu inaumiza mno, Miundo mbinu ya hizi shule zetu sio rafiki kabisa majengo yapo vitendea kazi hakuna, but kila mwaka bajeti za kuongeza madarasa zipo but bajeti za kuongeza vifaa vya kujifunzia masomo ya sayansi hakuna tabu sana
Kwakweli ni changamoto kuna shule niliwahi kwenda darasa la mchepuo wa sayansi wapo wachache ila nyuma kabisa kuna mafiga na kuni nikimaanisha pia hutumiwa kama jiko. Iliniuma sana
 
Inasikitisha sana, Viongozi wanaopewa mamlaka hawana future plan ata kidogo na hawajui n nini wanasimamia.

Imagine shule A imepelekewa vitabu vya computer lakini hakuna chumba cha computer ata kidogo Sasa unajiuliza wanajifunza hyo computer ndo napo Sema hakuna future Plan

Ukiwa na uwezo mpeleke mtoto wako shule bora sio bora shule
 
Elimu ilianza kunajisiwa toka awamu ya 1 na wengine wakaendeleza.
Huwa nafatilia sana kipindi cha Child Genius UK kinarushwa Discovery Family ni watoto wa miaka 12 tu ila uelewa walio nao katika hesabu, uchumi na sayansi huwa nasema sisi hadi kufikia tunaunda hata printed circuit boards hao watakuwa mars.
 
Hivi unazani kwanini watu wenye pesa wanapeleka watoto wao kwenye shule zenye mitaala ya nje (Cambridge curriculum)

Huko ndiko watoto wanajengewa self confidence and And watoto wanakuwa vizur upande wa Science

Mtoto wa miaka 10 huko anakufanyia presentation ya kitu hadi unapenda, au ata mtoto wa form four shule zetu hawez kukipresent same way
 
Inasikitisha sana, Viongozi wanaopewa mamlaka hawana future plan ata kidogo na hawajui n nini wanasimamia.

Imagine shule A imepelekewa vitabu vya computer lakini hakuna chumba cha computer ata kidogo Sasa unajiuliza wanajifunza hyo computer ndo napo Sema hakuna future Plan

Ukiwa na uwezo mpeleke mtoto wako shule bora sio bora shule
Sasa kuisoma computer katika kitabu bila kui practice huo ni uongo mkubwa sana hapo bado hujaenda kwenye programming languages mmmh sisi kwakweli tunasikitisha.
 
Hii ndo bongo mkuu,

Acha tupambane kupiga bachelor nyingine itupe upana wa kuendelea kusaka opportunity then tuachane na haya mambo
 
Back
Top Bottom