Kutoka kufundisha hadi kuwa IT

Kutoka kufundisha hadi kuwa IT

tztz

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
275
Reaction score
258
Wajuzi msaada, inawezekana kwa mwalimu tuseme kaajiriwa na masomo ya IT na mathematics akajiendeleza Masters in Computer Science au IT, anaweza kuomba kuhamishiwa idara ya IT akakubaliwa?

Msaada tutani wakuu.
 
Msaidieni jamaniiii!

Vp mkuu hutaki kupig pindi wanafnzi? mbona fresh tyu huku unaendeleza na mishe zako!
 
Wajuzi msaada, inawezekana kwa mwalimu tuseme kaajiriwa na masomo ya IT na mathematics akajiendeleza Masters in Computer Science au IT, anaweza kuomba kuhamishiwa idara ya IT akakubaliwa?

Msaada tutani wakuu.
Masters haina msaada mkubwa katika kazi, degree ya kwanza ndio ina matter. Huwezi kuwa IT kama degree yako ya kwanza sio ya IT.
 
Inategemeana na sifa za kuingilia kwenye hiyo taasisi. Kwa Serikali Kuu na Halmashauri ni Shahada ya kwanza
 
Shukrani mkuu ngoja nijipange April intake nianze open mdogo mdogo
 
Lakini hzo sizani kama zitanisaidia kubadirishiwa muundo kaka nifafanulie hapa
Hizo certifications zinatambulika na kuheshimika kimataifa katika field ya IT. Yani ukisimama popote ukasema una cheti cha CCNA unaweza pewa kazi ya IT.
Ukipata muda tafuta zaidi kuhusu hio ishu ni serious mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana kaka but tatzo nchi yetu tunaamini katika vyeti vikubwa kama Dip, au degree

Ngoja nifuatilie ulicho nambia mkuu lengo langu kuachana na chaki kabisa
 
Anzia youtube kuna mwamba mmoja alikuwa teacher tena wa english language huko japan alikomaa na sasa ni full time network engineer.

Youtube channel yake inaitwa jeremy's IT lab.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo certifications zinatambulika na kuheshimika kimataifa katika field ya IT. Yani ukisimama popote ukasema una cheti cha CCNA unaweza pewa kazi ya IT.
Ukipata muda tafuta zaidi kuhusu hio ishu ni serious mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza recommends hizo it professional courses?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom