Dah!! Atakula hela mbaya hivi vipengele tu alivyobuni unaweza kukosa nafasi.safi sana jamaa mbunifu sana lazima ale vichwa ila aongeze na kipengele cha kuongozea makalio ya wadada.
Duh..nimekuelewa sana brother![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hii too much!
ila kaka hizo dini za mababu zetu zilikuwa zinaumiza jamii kuliko unavyo dhan!
Kuna baadhi ya makabila dini zao ziliwataka mabinti walio hai kuzikwa pamoja na maiti za wafalme!
Kunabadhi ya dini pia ziliwataka waumini kutoa kafara za uhai wa watu ili kufanikisha maombi yao!
Ilikuwa ni hatar sana kaka!
Hata hivyo siwez kupinga mtazamo wako!
Ataondoa vipengele vibaya ataweka mambo mazuri tuu. Unaona hilo bango walivyojiongeza?Mfano kutakuwa na usafiri bure wa ungo nk.🤣🤣🤣🤣
hii too much!
ila kaka hizo dini za mababu zetu zilikuwa zinaumiza jamii kuliko unavyo dhan!
Kuna baadhi ya makabila dini zao ziliwataka mabinti walio hai kuzikwa pamoja na maiti za wafalme!
Kunabadhi ya dini pia ziliwataka waumini kutoa kafara za uhai wa watu ili kufanikisha maombi yao!
Ilikuwa ni hatar sana kaka!
Hata hivyo siwez kupinga mtazamo wako!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]