Kutoka kinywani mwa Dada @AshaDii!!!!

Hahahahaha.... I Hate Januaries.... !! Ninaipenda January ya mwaka niliozaliwa tu, nyinginezo zote ni full msoto kudadadadadeki!
 
Zinduna mpendwa nakushukuru kwa kuniwakilisha kwa lile ambalo niliongea huko nyuma. Nisamehe buree kwa kutokuja mapema. Masuala ya ndoa na mahusiano ni moja ya mahala ambapo ni pagumu, kujufunza na kufunzana juu ya haya mambo hakuishi na hakuwezi kuisha tokana na sababu mbali mbali.

Nilipenda saana nichangie zaidi mdogo wangu; ila bahati mbaya I am lost. Sasa labda unipe mwongozo maana hapa sielewi niseme nini zaidi ama yastahili nigusie suala lipi. Asante.

Kwa mara nyingine naomba nikupongeze kwa ubunifu wako katika kufanya jamvi liwe lively.
 

Pj ushauri mzuri nakubaliana nao kabisa.... Ila kidogo am curious. Does it mean kuwa Inajulikana ni lipi nasimamia katika kila mada? Interesting...
 
Sasa mwenzio i run the january show! Ndo naonyesha mie ni mtoto wa kike na nikiwepo haliharibiki neno. Paw namuacha asote miezi 11, na likizo ya december namkamua hela zote. Afu january ndo nampa limbwata. Kwanza leo nampa mshiko akapige ulabu na washkaji zake. Chezeiya king'asti na mbinu za cia?
Hahahahaha.... I Hate Januaries.... !! Ninaipenda January ya mwaka niliozaliwa tu, nyinginezo zote ni full msoto kudadadadadeki!
 
afu mbona mie sioni tofauti ya January, july, na Dec? 🙂 🙂 (nimeolewa na Mzungu kuliko wa Natalia)

 
Kuna wadada/wamama humu huwa nawakubali sana kwa maneno yao. Mojawapo ni AD na Dena Amsi. Kila wanapopita huwa narudia mara tatu kusoma. Ila kuna mafeminist humu huwa napata uvivu wa kusoma hata walichoandika! Wengi wao nahisi hawajaolewa au walishavunja ndoa zao kwa mambo madogo sana. Kuna wengine ushauri wao unakuwaga wa kizungu sana kiasi kwamba unagundua huyu bado analelewa na waume za watu.
 

Mmh we King'asti mtoto wa Tangaline sikupatii picha jinsi ulivyomzindika Paw!
Hongera yake lakini kwakuwa pamoja na limbwata ya January lakini anacover February hadi December!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wangu, mimi namtazama AshaDii kama Icon ya wadada/wamama wa JF.

Anaonekana kuwa mdada mwenye maadili kamili ya kitanzania aliyelelewa kimaadili na aliyekwiva. Mara zote nikisoma post zake napata kujifunza jambo jipya.

Ubarikiwe sana AshaDii. Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ili tuendelee kunufaika na busara zako.

NB Kongosho na mzungu wako usione wivu kwa hili, zamu yako inakuja!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…