Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Chadema msijidanganye mmepoteza mtu muhimu kuliko mnavyodhania.wacheni ubaguzi mnauwa chama kwamtindo huo wananchi tunaondoka imani na nyinyi afadhali ya ccm kwa mtindo huo
Sentesi ya mwisho! Umemaanisha........
hoja dhaifu kama hizi zinadhihirisha jinsi cdm ilivyo filisika. Baeo sana kuwa na upinzani imara tanzania.
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,
Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi,
Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,
Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,
Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wanne
hatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe
Kati ya mwaka 2005 na 2010 kipindi gani alipata kura nyingi zaidi
Ningelichukua swali lako kwa uzito kama ungeuliza alipata asilimia ngapi ya kura zilizopigwa!
Sasa unaulizia uwingi tu wa kura??? Then what??? Hiyo sio analysis ya data mkuu haitoi picha yoyote, sorry lakini!
Bye bye Zitto chadema and BYE BYE chadema KIGOMA. hiyo ndo habari ya mujini sasa hivi na sio hizo propaganda zako unazoandika kutoka arusha/kilimanjaro.wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
wapiga kura wa zzk tunamshukuru mungu kwa yote yaliyotokea kwa mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa cdm.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia mr piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.nb:ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa taifa, basi taifa likupokee(rip zzk)

wewe umetengenezwa kwa hizi posts zako 3 inadhihirisha wazi umetumwa na wala si wa kwetu kigoma.wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
Chadema msijidanganye mmepoteza mtu muhimu kuliko mnavyodhania.wacheni ubaguzi mnauwa chama kwamtindo huo wananchi tunaondoka imani na nyinyi afadhali ya ccm kwa mtindo huo
R.I.P Mh. Zitto.