Kutoka JamiiForums: Salaam za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018

Status
Not open for further replies.
Tunashukuru kwa salaam ya sherehe za mwisho wa mwaka.

Ombi langu ni moja tuu kwa wale wanaotoa breaking news, waonyeshe umaturity zaidi mwaka ujao. Usilete habari bila source na hasa kama issue ni sensitive, ikibidi moderators muiondoe faster kabla ya sumu kusambaa.
 
Ule mkutano wetu (get together) wa wana jamii wote basi napendekeza ufanyike 2018.

Tufungue account hapa za michango ambayo itatumika kuwazawadia members waliotoa hoja na zikakubaliwa na wengi; lets say mwenye like laki tano kwa hoja na comments zake basi apate chochote kama zawadi mwisho wa mwaka.

Na wale hatujawahi pata bani tangu tujiunge JF pia tuzawadiwe toka mfuko huu
 
Sitoachwa nyuma, Salaam za mwaka mpya kutoka Kenya ziwafikie watani wetu wa jadi, Tz na wanaE.Afrika wote. Kongole kwa mkuu Maxence Melo na timu yake yote kwa kuwa mstari wa mbele kwenye shughuli ya kuiendeleza na kuikuza lugha tukufu tunayoipenda na kuienzi, kiswahili. Happy New Year!
 
Hongereni JF kwa kuwa sauti ya wanyongena wasiopata nafasi ya kupaza sauti zao isipokuwa kutumia jukwaa hili.
Kudos.

Maoni:
JeKuna nuwezekano wa kuweka DELETE option kwenye PRIVATE inbox. Ili kama ujumbe niliotumiwa na siupendi nasiutaki ninanataka ku u DELETE iwe ni rahisi.

Ahsanteni sana kwa kazi zenu nzuri katika kuueleimisha uamma kupitia Jukwa hili tunapotoa hoja na maoni mbali mbali.

Happy new year 2018!
 
Hongereni JF kwa kuwa sauti ya wanyongena wasiopata nafasi ya kupaza sauti zao isipokuwa kutumia jukwaa hili.
Kudos.
Maoni:
JeKuna nuwezekano wa kuweka DELETE option kwenye PRIVATE inbox. Ili kama ujumbe niliotumiwa na siupendi nasiutaki ninanataka ku u DELETE iwe ni rahisi.
Ahsanteni sana kwa kazi zenu nzuri katika kuueleimisha uamma kupitia Jukwa hili tunapotoa hoja na maoni mbali mbali
Happy new year 2018.
Mbona ipo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom