Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,723
Ila mimi kusamehe daah! Sijui nipoje?! Yaani mtu akinivuruga mara moja tu ndo basi tena, hali hii imesababisha nigombane na watu wengi sana, yaani tatizo langu jambo dogo naweza kulikuza likawa kuuuubwa, ila sio mbaya maana nimeshajitambua