Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.
Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.
Makonda oyeeeee
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Hili jambo sijui kwanini hatukulishupalia tangu mwaka juzi?Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Hatukushindwa sababu mtuhumiwa hakuja kuthibitisha kuwa yeye si daudi bashite..kama alivyofanya mwigulu wakati anatuhuma kama hizi..mwambie bashite aje ajaribu angalau kujitetea..Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.
Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.
Makonda oyeeeee
Can u now respond why this guy is Makonda and not Bashite?can u say something on trending issue of education certificate
Mmmh tuionee huruma jfhata swala la Sizonje kupiga hela ndefu kwenye bombardiers itakuwa wazi tu miaka ijayo.
Hatukushindwa sababu mtuhumiwa hakuja kuthibitisha kuwa yeye si daudi bashite..kama alivyofanya mwigulu wakati anatuhuma kama hizi..mwambie bashite aje ajaribu angalau kujitetea..
Under this CCM or what?Tangu 2015 haukupata majibu, kwahiyo unajua jibu kuwa ni uongo mtupu. Kama angekuwa amefanya mabaya, vyeo angevisikilizia mlangoni kwenye tundu la ufunguo.
Under this CCM or what?Tangu 2015 haukupata majibu, kwahiyo unajua jibu kuwa ni uongo mtupu. Kama angekuwa amefanya mabaya, vyeo angevisikilizia mlangoni kwenye tundu la ufunguo.
Mkuu uliliona hili wakakudharau sasa linawatesa. Mdharau mwiba mguu huota tende.
Hawezi kukujibu kamwe..le mtumboz yeye anateteaga tumbo lake tu...jitu zima lina miaka 60 bado linajikomba kwa kina bashite vitoto vya juzi...Can u now respond why this guy is Makonda and not Bashite?can u say something on trending issue of education certificate
Hujielewi na nina uhakika umeishia darasa la saba ukafeli...huna hoja kabsaKikaratasi kile si mlikishangalia au ndio mlijua mmeingizwa mkenge? Ha ha haaaaaa
Makonda ni Makonda
Kiongozi anayewakimbiza, leo kasema kagundua bil 5.7 watu walitaka kulipana kwa kazi hewa.
Hapa kazi tu
Under this CCM or what?
Haya toka 2015...wale watetezi wa vita ya madawa ya kulevya mje na swaga mpya...makonda ni bashite kaiba cheti cha Paulo ChristianHuyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Hujielewi na nina uhakika umeishia darasa la saba ukafeli...huna hoja kabsa
Mauteuzi ya kisiasa ya kipuudhi sanaNi aibu sana nchi kuteua mtu bila vetting,it is just a minute to reveal this shit