mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 638
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Ebu mwaga mambo hadharani hii tabia imezidi sana ccm.
siyo hivyo tu, makonda ana ndugu yake kahama anaitwa fadiga, huyu fadiga alimbaka taahira tena anayetokwa na udenda inasemekana makonda akamtoa jela huyo mbakaji hii ishu naikusanyia ushahidi kisha tuitoe kwenye gazeti la MAWIO. ila ni kweli tupu mimi ni shuhuda.
Mbona hata Kubenea mwaka 1995 alikuwa anaitwa Sarah? Iko simple like that, kutype kitu roho inataka ni rahisi sana!
Alafu nimemsikia mbunge wa Ubungo EATV, jamaa ni kilaza, yaani hoja zake nyepesi sana, yaani msingi wake wa hoja ni mimi ni mpinzani, serikali ikienda kulia mimo naenda kushoto, haijalishi ni zuri au baya!
Kwa ufupi, inaingia mara mia kwa Mnyika! Anasema yeye hapendi unafki? Kweli? Mwanahalisi na Lowassa!
Eti yeye ni mkweli? Kweli?
Ni nunda! Ubungo mmepata kilaza.
Ni mtangazaji wa radio huko TaboraDAUDI BASHITE------>>>PAUL MAKONDA.
TYPICAL INCLUTIONS.
HII NI DOSARI NA KOSA,
YAELEKEA YUPO MTU AIYWAYE P.MAKONDA AMBAYE HUENDA ALIFAULU MASOMO, AKASHINDWA KUHUDURIA.
ii