Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,171
- 138,427
majungu at work.....atawanyoosha tu
Huyu jamaa jina lake la utotoni ni Daud paul bashite, lkn miaka ile ya 2000 akiwa chuoni wanachuo wenzake walipenda kumuita jina la baba yake yaani paul, sasa kw vile kulikuwa na akina paul wengi pale chuo walitofautishwa kwa makabila yao,
Kwa hiyo huyu tunaemuongelea hapa aliitwa paul makonde.sasa baada ya chuo akalipotezea hili jana makonde na kujiita paul makonda
(tango poli)
Hilo kweli tango mwitu! Yana miiba yale!Huyu jamaa jina lake la utotoni ni Daud paul bashite, lkn miaka ile ya 2000 akiwa chuoni wanachuo wenzake walipenda kumuita jina la baba yake yaani paul, sasa kw vile kulikuwa na akina paul wengi pale chuo walitofautishwa kwa makabila yao,
Kwa hiyo huyu tunaemuongelea hapa aliitwa paul makonde.sasa baada ya chuo akalipotezea hili jana makonde na kujiita paul makonda
(tango poli)
Barafuyamoto acha utoto tunafuatilia tujue kujiita makonda uhalali wake hapa kuna mchezo Wa vyeti feki
Walioko mwanza mitaa ya igoma wanamengi ndio alipozaliwa makonda hapo mitaa ya juu igoma