Oletelele mbunge wa ngorongoro adai kenya inanufaika zaidi na babu wa loliondo,adai imemtangaza huko kuwa anapatikana kusini mwa kenya nawageni na wagonjwa wengi wanatua kenya na kusafirishwa kwa babu kutoka kwao,ahoji kwanini serikali na wizara husika isikanushe na kuchukua hatua
mkuu kama habari zenyewe ndio hizi basi tunashukuru sana, haina shida utalutea siku nyingine
Mkubwa mbona unatuchekesha hapa?
haaaaaahhhhAnaeyendelea sijui ni nani hajaongea kitu mpaka sa hivi
asahau kabisaMama mbunge kutoka Pwani alalamikia maendeleo duni ya mkoa wake kuwa ktk mikoa ya mwisho nchini kwa maendeleo,anadai miundombinu mibovu ndo inachangia maendeleo mabovu ya mkoa wa pwani,thus serikali ichukue jukumu la kuboresha miundombinu na kuanzisha viwanda vidogo
mkuu kama habari zenyewe ndio hizi basi tunashukuru sana, haina shida utatuletea siku nyingine