Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

Kigola anaomba umeme na kumpongeza Ngeleja sijui kwa lipi huku analalamikia Giza na anakiri kuwa suala la TRANSFOMA ni CRITICAL Problem
 
Anaomba asiliongelee kwa unadani sana tatizo hilo la Umeme kata ya Malangali kwa kuwa alishammega sikio Adam Malima na kuwa ana matumaini litashughulikiwa.
 
Kwa mujibu wa Mwanyika Mama Simba alisema kuwa WAMA haikushiriki katika kampeni za kumuweka JK madarakani wakati ni kweli alishiriki na Mnyika kasema ana ushahidi na anaweza uwakilisha

Kumbe mama Simba alitaka lificha ili b'se yeye ni board member wa WAMA.

Jamani sheria zinasemaje Mbunge akilidanganya Bunge.

Source: Bunge la leo 21 april 2012 at 9;05am na

WAMA Foundation - About us
 
endelea kutujuza mkuu, unajua sie wa vijijini twawategemea sana nyie wa mjini kutuhabarisha
 
Kange anaomba umeme na kumpongeza Ngeleja sijui kwa lipi huku analalamikia Giza na anakiri kuwa suala la TRANSFOMA ni CRITICAL Problem

Huyu mhehe wa Mafinga mshamba kinyama. Anajitafuna hata ktk kuzungumza kwake!
 
wana bodi mmemuona mbunge wa Mufindi anavobwabwaja? Poleni wana Mufindi hapa mmepata hasara Amabwabwaja hadi yule mama jirani yake akamkimbia.
 
JOHN MYIKA: Anasema atachangia jambo moja tu kuhusu uwajibikaji katika Ufisadi, na anaigusa taarifa ya kamati ya fedha
 
umesahau mbunge mmoja wa chadema ni sawa na magamba 30? huo ndo mfano ndugu yangu.
 
Mnyika anataka uchunguzi maarumu kuhusu ghala la chakula na misamaha ya kodi. Uchumi wa nchi yetu upo mashakani. Anamtaka CAG afanye utafiti Juu ya AKAUNTI YA DENI LA SERIKALI.
 
Mnyika anamtaka Rais achukue hatua za ziada kwa mawaziri sio kwa kujiuzuru tu!
 
Aiseee mimi nimeshangaa anaacha kuchangia report ziliko mbele anaanza kujipigia kampeni na kuongelea bajeti ijayo! Hili ni bomu kweli kweil!!
 
Omary Numbu na mawaziri wengine waliodaiwa kufukuzwa wamejaa tele bungeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom