Kutoka Bungeni: 2006 - 2010


Mh Zitto haya mambo uliyoyazungumzia ni muhimu.Lakini yanajulikana na ulishawahi kuyapigania huko bungeni na wakaku suspend na baadae kamati ikaundwa ya madini ambayo KUNA MAFISADI WALIKUWA NDANI.... Johnson Mwanyika....Mtuhumiwa mkuu wa RICHMOND alikuwepo kwenye kamati EPA.Mafisadi waliwekwa pamoja na wewe ambaye ulinyimwa nafasi ya kupata muafaka utakaotokea kwenye kamati teule ya bunge ili kuweza kuona ni kwa jinsi gani haki huru ya watu huru itapatikana.Tukasema usiingie kwenye kamati!Kuingia kwako kamatini kulisaidia sana kumsafisha kiaina mfisadi na hivyo kupelekea kuyumba kwa haki.Mh Zitto....Kama hutaweza kuja na udhibitisho kuwa wabunge wa CCM hawatakupa tena umaarufu kwa kukufukuza BUNGENI na Kukuundia kamati nyingine zenye mishahara minono...Basi utakuwa umetuweka kwenye njia panda!
 
sio kama serikali haiambiwi. inaambiwa kila mwaka mambo hayo kwa hayo. lakini haitaki kwa kuwa imejificha humo kwenye mikataba mibovu.
mmesikia wapi mtu kutia moto nguo aliyovaa mwilini mwake?
 
sio kama serikali haiambiwi. inaambiwa kila mwaka mambo hayo kwa hayo. lakini haitaki kwa kuwa imejificha humo kwenye mikataba mibovu.
mmesikia wapi mtu kutia moto nguo aliyovaa mwilini mwake?

Tatizo letu tuna mentality ya "kuiambia" serikali.

Sijui kwa sababu tulikuwa protectorate na kupata uhuru bila Mau Mau ndiyo maana kila kitu lelemama na kuambiana mara mia mia. What is the meaning of checks and balances? Whats is the meaning of accountability to voters?

Bunge linatakiwa kuikeep serikali in check.Nafahamu kuna swala la wabunge wa CCM kuleta partisan politics, wananchi wanatakiwa kuwa keep partisan MPs in check.

Kwa hiyo mbunge mmoja machachari anatakiwa kuleta msaada machachari kupinga upuuzi wa serikali na tuone voting records za wabunge, wasioweka maslahi ya taifa mbele tunawatoa regardless ya chama gani wanatoka.

Naelewa kuna ma molasses kibao na ukiritimba kama wa kina Marmo, lakini kwenye molasses hukai na kulalama, unatia maji pole ple kulainisha.
 
ccm wanaharibu bunge letu. mbunge yoyote wa ccm anayejaribu kutetea maslahi ya wananchi utasikia anatengwa na chama, au mara kaekewa uchawi.
ccm ikipeleka wagombea wenye uwezo na moyo wa kusaidia wananchi, basi nchi hii itakwamuka mara moja kutoka maafa yake
 

Ndio maana nikauliza inakuwaje Mbunge aseme anategemea Mkulo alete pendekezo la kufuta sheria ya misamaha ya kodi wakati wao BUnge ndio walitunga hiyo sheria ya misamaha, na wiki iliyopita Serikali ilisema inakerwa na hii Sheria, siku Mkuu wa TRA alipoongea na Wabunge kuhusu wakwepa kodi wa Cocacola? Mnakumbuka?

Tatizo ni kubwa kuliko Checks and balances: Hakuna anaejua nani anatakiwa afanye nini!
 

Is sisal making a comeback? Most people had thought it to be on the verge of being replaced by synthetics.
 
Mheshimiwa Naibu Spika, la mwisho kabisa, kama tunataka kuongeza uzalishaji wa kutosha kwenye baadhi ya mazao ambayo tunayo ni lazima tuangalie jinsi gani ya kutoa incentives kwa baadhi ya mazao. Mimi nitatoa mfano mmoja na nilitoa taarifa hii toka mwaka jana kwamba leo India wameweka compulsory usage ya magunia yao ya jute kwa ajili ya mazao yote ya India. Sisi hatujaweka compulsory usage ya maguni yetu ya katani, matokeo yake ni kwamba tunakuwa tuna-export jobs kwenda Bangladeshi na India kwa sababu hatulindi sisal yetu, katani yetu wala hatulindi viwanda matokeo yake ni kwamba baadhi ya wawekezaji wamenunua viwanda havifanyi kazi kwa sababu ya mazingira hayo ya kikodiPia kwanini asiwaulize kuhusu AGOA?Wabunge pia ni wakati wa kuwajulisha wananchi kuhusu opportunities zilizoko na si kuwaachia vigogo mafisadi MAFIOSO na makundi ya wafuasi na familia zao za Ki don!Wananchi waambiwe kuhusu EPZ...Wananchi walifichwa kuhusu ubinafsishaji na wabunge walifumba macho!
 
Halafu MODS naomba tuwekane sawa hapa!Kwanini mumezidis able hizi functions kiasi cha kwamba naonekana kama naandika vituko?Siwezi kuhighlight,kuquote,wala kutumia functions nyingine za maandishi.Tuelezane wakuu maana akufukuzaye hakwambii TOKA!
 

Haya ndiyo maelezo muafaka ya sheria inayozungumziwa hapa. Kila budget huwa inapitiswa kwa hiyo Finance Bill
 

Kwa mfano hapo juu nilikuwa niki mquote Zitto na ujumbe wangu umeanzia hapo kwenye...Pia kwanini asiwaulize kuhusu AGOA...Sasa ona jinsi ilivyotokea kama kituko flani hivi...!
 
Halafu MODS naomba tuwekane sawa hapa!Kwanini mumezidis able hizi functions kiasi cha kwamba naonekana kama naandika vituko?Siwezi kuhighlight,kuquote,wala kutumia functions nyingine za maandishi.Tuelezane wakuu maana akufukuzaye hakwambii TOKA!

kwi kwi kwi kwi kwi kwi,

yaani hapa sina mbavu jamani, hivi Mushi u-mzima kweli?
 
Is sisal making a comeback? Most people had thought it to be on the verge of being replaced by synthetics.

Nililiona hilo, lakini nikasema ngoja niuchune nisije nikadhaniwa nina mzizi.

Kuhusu katani, lingine analosema Mheshimiwa ni kwamba viwanda (nadhani viwanda vya kamba, hajaeleza) vinakufa kwa sababu ya mazingira ya kodi kwa wawekezaji. Anataka wawekezaji wa viwanda hivi wapewe "incentive" ili "kulinda sisal yetu."

Kwa maneno mengine anataka misamaha ya kodi kwa wawekezaji.

Ilibidi atueleze tofauti ya huu msamaha na ule wa wawekezaji wa migodi. Halafu pia tuelewe kama ni busara kwa Serikali kujaribu kufufua sekta ambayo hata wafanya biashara wameiona haina faida. Kama wafanyabiashara wanadhani hii biashara haistahili hata kuilipia kodi, tungependa kujua kwa nini Serikali iione kwamba ni biashara yenye faida, kama anavyopendekeza Mh. Zitto.
 
Is sisal making a comeback? Most people had thought it to be on the verge of being replaced by synthetics.

Synthetics have proven to be a disaster for an environment, i currrently see that there is a huge possibility of sisal to comeback, i take an example of china which has recently taken some measures to control plastic bags.
so if this opportunity of awareness which has popped to people's minds is well utilized, it is my hope that sisal can make a tremendous comeback, but an immense investment is still needed ofcourse.
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi,

yaani hapa sina mbavu jamani, hivi Mushi u-mzima kweli?

Halafu weka lafudhi ya kichaga kama ile ya katika Rafaeli,

Ni namna gani ah, ni jinsi gani tutawini maishani
mpaka siku tunasema buriani, ah x3

Yerewiiii!
 
Haya ndiyo maelezo muafaka ya sheria inayozungumziwa hapa. Kila budget huwa inapitiswa kwa hiyo Finance Bill

Umefuatilia swali lililofuata baada ya huo utaratibu wa finance bill kuelezwa na Asha Abdalah? Naomba unijibu swali lililofuata baada ya jibu la Asha Abdallah.
 

Mh. Zitto...

Nimesoma kwa makini... tunashukuru sana lakini kwa wengine kwa kweli hatujaona jipya hapa!
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi,

yaani hapa sina mbavu jamani, hivi Mushi u-mzima kweli?

Nini kinakuchekesha hapa kwenye issue nyeti?Kama unataka kwanini wewe usitoe maelezo kuhusu hii issue ya Mwanyika ambaye ni mtuhumiwa wa RICHMOND aliyewekwa kapu moja na watu wengine kwenye kamati yao ya uchunguzi ya EPA.Halafu Zitto naye kuingia kwenye kamati ya madini na Mafisadi wengine huku ripoti akipewa SINCLAIR kwanza na wakati tukielewa MWK alisema watu wanayo hapa JF lakini maneno yakapindishwa pindishwa tu na sasa tunasahaulishwa kwa awamu nyingine!Kama wananchi hawakuona mavuno kwenye msimu uliopita hawana haja ya kuwa na matumani na msimu ujao kama hali za hewa ni zile zile zenye kuashiria matokeo yale yale yenye mazao hafifu na mabovu!Nilishasema sasa ni kuchoma moto shamba zima na ngedere wote halafu tusahahu mavuno kwa msimu ujao ili tupande mbegu mpya na bora zaidi zenye sumu kali dhidi ya wala mazao wetu ambao ni NGEDERE MAFISADI MAFIOSO NA WACHAWI KULU!
 

Halafu mkuu tatizo lingine kubwa kuanzisha na kuendesha kiwanda bongo ni UMEME..Hapo RICHMOND INARUDI!Serikali inatakiwa itoe incentives kwenye gharama za umeme lakini ni MAFIA na MAFIOSOZ DEALZ za wenyewe kwa wenyewe!Wananchi hawaambiwi lolote wao wanaambiwa kuwa ni masikini na Marekani hawajatoa mchele
 
Ndugu Mbunge, naomba uniulizie au ufuatile ile Bill iliyo pitishwa mwaka jana ya kufuta au kupitisha zile fedha ambazo zilikuwa kwenye audit queries, ili zisiendele kutokea katika audit report.
Serekali iliomba wabunge wazipitishe then watazi fuatilia je wamewapa progress report yake, kama zimerudishwa watu wamechukuliwa hatua au ndio basi tena.
 

I have only just a minute; just sixty seconds in it … Forced on me, Can’t refuse it, Didn’t seek it, Didn’t choose it but I must suffer if I lose it, give account of it if I abuse it … just a tiny minute but eternity is in it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…