Ina maana kazi kubwa ya Dk Slaa bungeni ni kuibua kashfa tu? Kila mara akiongea ni hadithi ile ile ya kuibua kashfa!
Bongolander, kazi ya mbunge ni pamoja na kuisimamia serikali, sasa ulitaka Dr.slaa akisimama naye aisifu na kuipigia makofi serikali kama wengine?
Mbunge ni lazima awe anaisimamia serikali, sasa hawa walichukuliwa hatua gani wakina Mahita na wenzake? hapo ndipo wabunge wanatakiwa kuingilia kama hakuna hatua zimechukuliwa wakati huu ni uharamia ,kuwafanya binadamu wenzako majaribio tena na dawa feki hili linauma sana .
Waliofanyiwa unyama huu ni watanzania tena masikini kwa kuahidiwa kuwa wangelipwa lakini hawajalipwa kama walivyokubaliana ,sasa wakilalimika kwa slaa asiwasemee?
Bongolander sasa hutaki aibue yaliyo jificha ? Kumbuka Slaa si Kilaza anaibuwa na kusimamia issue .Hili linakukera sana ?
Lunyungu hili linanifurahisha, lakini tatizo ni kuwa Dr Slaa akiwa ni mbunge wa mabomu tu atakuja fika hatua ya kuwa kama Mrema, na kufa kisiasa kabisa, kama hakuna mambomu ina maana yeye hatakuwa na maana tena. NI vema kama wapinzani wakaja na concreate issues ambazo zinaweza kutuonesha kama wao watakua alternative party, sio siasa za mabomu tu. Hili ndio tatizo langu.
Najua kuwa moja ya kazi ya opposition ni kulipua mabomu, lakini hiyo isiwe ni kazi ya pekee. Angekuwa anatuambia pia na alternative policies ambazo wanazipanga ili kuweza kuhakikisha kuwa hakutakuwa na mabomu hayo ingekuwa ni vizuri sana.
I salute Dr Slaa and other opposition MPs, but the should also have a touch or broader issues and policies, sio mabomu tu, hiyo itashusha hadhi yao.
Ina maana kazi kubwa ya Dk Slaa bungeni ni kuibua kashfa tu? Kila mara akiongea ni hadithi ile ile ya kuibua kashfa!
Anatimiza wajibu wake kama mbunge. Au sio kazi ya bunge kuisimamia na kuikosoa SIRIKALI??Kama ukosoaji huo unakuwa ni Kashfa hilo ni suala lingine. Wanahitaji kukosolewa ili wajirekebishe wasije kurudia hayohayo madudu huko mbeleni.Ina maana kazi kubwa ya Dk Slaa bungeni ni kuibua kashfa tu? Kila mara akiongea ni hadithi ile ile ya kuibua kashfa!
Lunyungu hili linanifurahisha, lakini tatizo ni kuwa Dr Slaa akiwa ni mbunge wa mabomu tu atakuja fika hatua ya kuwa kama Mrema, na kufa kisiasa kabisa, kama hakuna mambomu ina maana yeye hatakuwa na maana tena. NI vema kama wapinzani wakaja na concreate issues ambazo zinaweza kutuonesha kama wao watakua alternative party, sio siasa za mabomu tu. Hili ndio tatizo langu.
Najua kuwa moja ya kazi ya opposition ni kulipua mabomu, lakini hiyo isiwe ni kazi ya pekee. Angekuwa anatuambia pia na alternative policies ambazo wanazipanga ili kuweza kuhakikisha kuwa hakutakuwa na mabomu hayo ingekuwa ni vizuri sana.
I salute Dr Slaa and other opposition MPs, but the should also have a touch or broader issues and policies, sio mabomu tu, hiyo itashusha hadhi yao.
Bongolander Ulitaka Akamtongoze Mama Kilango,,,watu Wameamka Sasa
Jitahidi Na Wewe Mwaga Sumu
Lunyungu hili linanifurahisha, lakini tatizo ni kuwa Dr Slaa akiwa ni mbunge wa MABOMU tu.... na kufa kisiasa kabisa, kama hakuna MABOMU ina maana yeye hatakuwa na maana tena. NI vema kama wapinzani wakaja na concreate issues ambazo zinaweza kutuonesha kama wao watakua alternative party, sio siasa za MABOMU tu. Hili ndio tatizo langu.
kazi ya opposition ni kulipua MABOMU... Angekuwa anatuambia pia na alternative policies ambazo wanazipanga ili kuweza kuhakikisha kuwa hakutakuwa na MABOMU.....
I salute Dr Slaa and other opposition MPs, but they should also have a touch or broader issues and policies, sio MABOMU tu, hiyo itashusha hadhi yao.
MBUNGE wa Karatu (Chadema), Dk Willibroad Slaa, ameibua kashfa nyingine inayomhusisha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu, kwamba hospitali yake.....
Bongolander,
Nimesikitishwa na uwezo wako mdogo wa kufikiria na kupambanua mambo, pamoja na kuonekana kutokerwa na mambo yanayowasibu wananchi wetu. Dr. Slaa ni fimbo ya wanyonge, yeye kazi yake pamoja na kuwakilisha wananchi wa jimbo lake kazi nyingine ni pamoja na kuikosoa serikali, hio ndio kazi maalum na mahususi ya upinzani. Kufichua uozo, kufichua ufisadi, kufichua kashfa pamoja na kutoa mawazo mmbadala. Hata hivyo, Dr. slaa amekua akisifia na kuipongeza serikali pale inapofanya mambo mazuri pia. Ndugu yangu naomba uende shule ukajifunze nini maana ya siasa ya vyama vingi (multiparty democracy)
Heshima kwako mkuu,
Labda sijaeleweka kwako vizuri, au wewe ndio unashindwa kunielewa. Sijapinga alichosema Slaa nakiunga mkono sana, kufichua uovu ni sehemu ndogo sana ya kazi ya wabunge wote wa upinzani na walio chama tawala, lakini sio kazi pekee ya upinzani. Ninachosema ni kuwa upinzani kazi yao sio kulipua MABOMU tu, kama alivyokuwa akifanya Mrema, kuna mengi na makubwa ambayo yanaweza kuwa na manufaa zaidi, ya kutufanya watanzania tuwe na alternative government. Lakini Ni vigumu kuwa na watu ambao kazi yao ni kulipua mambomu tu na sio kutuambia strategies zao na policies zao za kufanya mambo kama hayo yasitokee tena. Kama kutakuwa hakuna mabomu ina maana Slaa atakuwa hana cha kusema, thus kwa maana hiyo finyu ya upinzani unayoifikiria wewe kutakuwa hakuna opposition! Elewa vizuri.
Kwa maana unayofikiria wewe wenye uzalendo wote walioko ndani ya CCM walioshiriki kufichua maovu yaliyoko ndani ya serikali ni wapinzani, au wasio wana CCM na waiso serikali walioshiriki nao ni wapinzania, hii si kweli.