MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,655
Mimi nitamuelewa mh Slaa iwapo atatueleza kwamba ameito hoja hiyo bungeni ili kuiboresha na kuisuka zaidi hoja hiyo halafu airudishe bungeni,na si tu eti anaiondoa bungeni kwenda kushitaki kwa wananchi, sijui anataka sisi wananchi tufanyeje, kwani sisi tuna mamlaka ya kuunda kamati kuchunguza suala hilo?
Sii woga,
1. It is a political strategy! Wewe unadhani Slaa mwoga kuongea Bungeni? Mbona huyu jamaa mahiri sana hutoa hoja to challenge serikali?
CHADEMA kujipanga vizuri hilo swala halina mjadala,kama kujipanga vizuri ni kwa kuondoa hoja bungeni ili kuipitia upya halafu tena kuirudisha bungeni hapo mimi nakubali,lakini kuiondoa hoja mahala husika ambako ni bungeni bila malengo ya kuirudisha ni dhahiri kutaka kuia hoja hiyo na kisha kujikosha kwa wananchi eti kwa kuwashitakia.kama hii hoja haitapelekwa kujadiliwa bungeni hakutakuwa na stratergy yeyote ya msingi yenye malengo ya maslahi ya taifa. badala yake zitakuwa ni kaulimbiu za kisiasa zisizo na mantiki yeyote kwa maslahi ya nchi yetuYaliyomtokea Zitto yaliwapa somo- CHADEMA wakaona wajipange vizuri! Slaa anaona akiongea na wananchi directly hoja yake itasikika- nao wananchi waatapata ukweli! Siasa you always assess strategies and move foward!
hakuna cha maana hapo,ni mbunge gani anaweza kumuuliza swali EL, zaidi ya wawili watatu tena kwa kumpongeza ktk kufanikisha kumaliza tatizo la umeme na kujenga shule nyingi kama ilani ya uchaguzi inavyosema.
Kasheshe,Good advice.Peleka swali kwa mbunge wako!!! umwambie amuuze PM, akashindwa weka barazani tujadili,
Play your part first!!!
NAdhani hiyo itakuwa njia bora ya kumfanya EL kuachia ngazi kwa hiyari kutokana na moto utaomwakia au hata kwa kushinda kutoa majibu sahihi kwa Wabunge. Tusubiri wakti mwafaka.