CHAUMMA Tanzania
Member
- Oct 1, 2020
- 7
- 22
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-
1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru
Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA wamegomewa kupatiwa vitambulisho vya uwakala.
Natoa wito kwa TUME ya UCHAGUZI kutenda HAKI kwa vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu-2020 wa Madiwani, Wabunge na Uraisi Tanzania bara na Visiwani kwa mujibu wa SHERIA za UCHAGUZI na KATIBA ya nchi yetu ili UCHAGUZI unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba 2020 ukawe wa HURU na wa HAKI.