Uchaguzi 2020 Kutoapishwa kwa mawakala wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

Inatosha Mkuu jibu langu lingekuwa sawa kabisa na lako. Sioni umuhimu wa kuwepo AU kusema kweli kwani hawa ndiyo wanaokumbatia madikteta Afrika.
AU ingeli act kama ECOWAS, nadhani Africa dictators wangelikuwa wameisha
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Siumwi! Wapinzani wa kweli ni CDM na ACT! Hamjawahi kukemea UOVU wa CCM hata mara moja, sana sana ni kupongeza mauaji, utekaji, uporaji wa demokrasia etc etc etc! Wengine nyote ni matawi ya CCM! Salary Slip naomba umweleweshe huyu jamaa yetu kuwa walio na akili wanawaelewa hivyo!
Haina haja ya kukemea.Sera yao ni lishe bora kwa kila Mtanzania,lishe inaleta afya ya akili,Watanzania asilimia 90% wakipata lishe bora kuanzia mashuleni mpaka vyuoni CCM itatoka yenyewe.
 
Nyinyi si ni vibaraka wa CCM, hiyo ni danganya toto ionekane na vyama vingine imegomewa na si CDM na ACT peke yao.
Yani nchi inaonekana chama cha upinzani ni chadema tu ila vyama vilivyobaki vyote ni vinaitwa ni vibaraka wa ccm.

ACT ya Zitto nayo iliitwa ni kibaraka cha ccm ila ajabu sasa Chadema inashirikiana nacho,sasa sijui imekuaje hadi chama cha upinzani kushirikiana na kibaraka cha ccm?
 
Back
Top Bottom