Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,997
Duh..! Hizi comment za humu unaweza kufa kwa hofu😀Pole sana mkuu kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy hvy, hakumaliza wiki mbili tukamzika wima wima futi 12 kwenda chini
Duh..! Hizi comment za humu unaweza kufa kwa hofu😀Pole sana mkuu kuna mjomba wangu nae alikuwa hvy hvy, hakumaliza wiki mbili tukamzika wima wima futi 12 kwenda chini
Ngoja ebu nipige nyeto alaf nione kama kutakua namabadilikoKichupa kimejaa
Hapana siKwa wanao tumia baadhi ya dawa za kuongeza msisimko au aina fulani ya miraha/ mirungu huwa na shida hii. Kama sio sti kama ulivyo sisitiza basi kuna dawa kati ya hizo nilizo gusia chunguza kama utakua unatumia either kwa kujua au kutokujua.
Kuna shida ya misul kuna formula ya kukaza kwa zoez na matunda njoo ujifunze zaid 0712505
Pole yake sana...
Babu kichupa kimejaa,Habari Wana JF
Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie
Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada