Kutoa mimba hakukufanyi kuwa msichana

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20170421-WA0016.jpg
 
Hujambo lakini? umeenda nje ya mada ya message kwenye gari. Lakini tukirudi nyuma tuseme hivi ukimkataa mtoto uliyempachika ujue haikufanyi wewe kuwa kijana ila unakuwa baba wa marehemu vile vile. hahahahaha. Wanapofukuza wasichana wenye mimba na waliowapa mimba kama ni kazi wafukuzwe au kama ni shule wafukuzwe vile vile. Wenye kazi wasign kulea mimba zao na watoto wakizaliwa vile vile kuwarudisha shule waliowapa mimba za utoto.
 
Hahaaaaaa Shikamoo dada VP huko lakini? Kwenye ishu ya utoaji mimba au binti kupata ujauzito binafsi naona kuna Unyanyapaa mkubwa saana na mara nyingi muathirika mkubwa akiwa ni mwanamke
 
Kweli ila bado najiuliza kwa nini wasichana wengi huwa wanaogopa kutaja waliowapa mimba? Vipi Bado upo mahala au umerudi bongo? Tutakuwa nje ya mahala for 3 nights kuanzia j. pili ila nitakujulisha kinachoendelea. Chini kidogo ya hapa tulipo kwa mfalme kijana.
 
Ooh safi sana nipo ila nitachomoka kidogo on mid-may takuambia
 
Back
Top Bottom