Hiyo zawadi nono ni kitu gani? Yaweza kuwa shilingi elfu moja !!!!!! Itaje acha porojo.Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Naku PM mkuu,Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Huna lolote..una nia ya kuanzisha hiyo biashara na hujui abc zake sasa anataka kuziiba toka kwa wengine.Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Au atakuwa anaenda kwenye interview kichwani mweupe hana kitu au anafanya research ya marketing kwa ajili ya digrii na kichwani hana kitu anataka msaadaUmeajiriwa kwenye kampuni ya gas lakini inaonekana hujui kitu, tobaa salaleee.....
Hapo inabidi uwe competence kwny ishu za sales and marketing.....
Sent using Jamii Forums mobile app