Kutoa hela PayPal na Amazon gift cards

Kwa paypal fungua akaunti ya paypal ila nchi chagua kenya weka address ya kenya itakubali kupokea ela. Ila itakuwa vizuri wakati unaifungua uwe na line ya safaricom na uifungue kwa jina lililosawa na hiyo line pamoja na tarehe ya kuzaliwa na ID iliyotumika kusajilia line.
Kama huna fungua kwa jina lako address weka ya kenya halafu ikishaingia ukitaka kutoa utawatumia hawa PayPal to Mpesa within 5 minutes
Utacheck rate zao wamekuwekea calculator utaweka dollar utapewa in keshs kiasi utakachopokea. ni instant hawachelew sema makato siyo friendly mfano dollar 80 utaishia kupata kama 154,000 hivi
Shukurani sana mkuu,account ya PayPal ninayo ila sijawahi kuitumia tangu niifungue sijui japo unanishaurije na address niliweka ya Tanzania
 
Paypal yenye address ya Tanzaniahaipokei pesa waituma itagoma na kumrudia aliyetuma wala kwako haitofika
 
Kwahiyo nifungue mpya? Na nikiweka address ya kesha je namba ya simu ya Tanzania itakubali kuandikwa ?
 
Ya fungua nyingine, namba ya simu weka yoyote yenye kuanza na code za kenya, ila usije ruhusu 2FA, nna kama watumia PC au simu activate paypal onetouch baada ya kufungua hiyo account.
 
Ahsante sana, ngoja ifungue
 
Kwa paypal fungua akaunti ya paypal ila nchi chagua kenya weka address ya kenya itakubali kupokea ela. Ila itakuwa vizuri wakati unaifungua uwe na line ya safaricom na uifungue kwa jina lililosawa na hiyo line pamoja na tarehe ya kuzaliwa na ID iliyotumika kusajilia line.
Kama huna fungua kwa jina lako address weka ya kenya halafu ikishaingia ukitaka kutoa utawatumia hawa PayPal to Mpesa within 5 minutes
Utacheck rate zao wamekuwekea calculator utaweka dollar utapewa in keshs kiasi utakachopokea. ni instant hawachelew sema makato siyo friendly mfano dollar 80 utaishia kupata kama 154,000 hivi
Hivi hapa tanzania kuna sehem wanasajili laini ya safaricom?
 
Nimejaribisha kufungua na namba yangu ya simu ya voda ya 0767 imekubali na imefungua account inaonekana hata voda mpesa inakubali sasa tayari nimeshafungua account paypal
Watu binafsi, moshi wapo nawafahamu ila Arusha sifahamu
 
Nimejaribisha kufungua na namba yangu ya simu ya voda ya 0767 imekubali na imefungua account inaonekana hata voda mpesa inakubali sasa tayari nimeshafungua account paypal
Vodacom Mpesa haikubali kupokea pesa from paypal na wala hakuna option hiyo. tatizo siyo kufungua tatizo ni kuitoa hiyo pesa.
 
Nipo apa nasubiri wajuzi Nina shida inayofanana na iyo
1603786048143.png

Ela inatoka tu kwa safaricom, hizo transactions unazoona zina platnum content zote nimetoa pesa toka paypal kupitia hao platnum writers
 
Kuna mtu alisema kwa M-pesa MasterCard inakubali, unanganisha na M-pesa MasterCard halafu withdraw...pesa itangia kwenye M-pesa MasterCard. Jaribu halafu ulete feedback
 
Mpesa master card haitoi pesa bali inaweka pesa kwa ajili ya kufanya malipo basi...
 
Back
Top Bottom