eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 476
Mpeleke hospitali wewe acha ujinga.
Ana joto kwenye mwili? Kama ametoka kwenye operation hiyo si dalili nzuri. Wahini hospitali kwa muda huu jaribu kumpa maji ya kunywa kila maraana miezi miwili tangia ajifungue (kwa operation) lkn tangia jana ameanza kulalamika anasikia baridi kali na kutetemeka hata kama amevaa masweta mazito...pia mshono wake kuuma ..je itakua ni ugonjwa gani?
Mletee polisi wampeleke.Hataki anasema apewe dawa tu
Kama yupo America na hataki kwenda hospitali si huyo mumewe anapiga 911 tu.Ana joto kwenye mwili? Kama ametoka kwenye operation hiyo si dalili nzuri. Wahini hospitali kwa muda huu jaribu kumpa maji ya kunywa kila mara
Ana joto kwenye mwili? Kama ametoka kwenye operation hiyo si dalili nzuri. Wahini hospitali kwa muda huu jaribu kumpa maji ya kunywa kila mara
[/QUOTE
Kuna uwezakano wa hiyo kuwa sepsis hii ni medical emergency msiidharau.Asante sana
Kuna uwezakano wa hiyo kuwa sepsis huu ni medical emergency msiidharau.