Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

"hofu yangu ni kuwa Lwakatare atauawa kabla ya kesi hii kufika kokote ili nao polisi wasiumbuke"

  • Kwa mfuatiliaji wa siasa za nchi yetu, hii ndiyo hofu ya kila mtanzania anayetafakari. Uwezo wa kumuua mtuhumiwa polisi wetu wanao na haitakuwa mara ya kwanza.
 
Issue ya tofauti ya picha ya upande wa jicho lililoathirika inategemea na hiyo picha amepigwa mhusika live au kutoka chanzo kingine let's say tv hiyo itakuwa imegeuka. muhimu hapo fuatilia mwandishi amesema ni upande gani, but all in all ndugu yetu kibanda amefanyiwa unyama ambao sisi sote ktk umoja wetu tunapaswa kuulaani!!
Ni wazalendo tu watalaani, wapo wanaofurahia akina Ulimboka, Kibanda, Mwangosi na wengine wakikumbwa matatizo, ndiyo maana wanapanga na kutekeleza uharamia huu.
 
Serikali kupitia jeshi la polisi imeendelea kuwa na majibu mepesi katika matukio ya utekaji ,uteseji na mauaji yanayotokea hapa Tanzania katika uongozi huu wa awamu ya nne.Naishauri serikali kama imekosa uwezo kufanya uchunguzi na kudhibiti hya mambo wsione haya kuomba msaada kutoka Uingereza (Scotland Yard) na Marekani (CIA)ambao wameonekana kuwa tayari kuwasaidi.Kuendelea kutembelea majeruhi na kutoa matamko kila siku haiwezi kuwa suluhu ya kuponya amani yetu inayotoweka kila kunapokucha.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Haijakosa uwezo, bali inapanga na kutekeleza yanayotokea
 
Ushahidi dhidi ya Lwakatare ni mkubwa kuliko uloweka dhidi ya serikali umetumia style ya Matching items wqakati wenzio wameweka Video na rough paper ya lwakatare, Hatutaki vihoja vya kitoto!
 
Unajua wala watu wasiumize kichwa kujua ni nani anahusika katika matukio ya kuwateka na kuwatesa baadhi ya wanaharakati hapa nchi akiwemo Dr. Ulimboka na Kibanda!!! Karibuni alijitokeza mtu mwenye account fb akijiita ridhiwani kikwete, sisemi kuwa ile account ni ya kwake ama si ya kwake japo amekana mwenyewe!!! ebu tuangalie content ya ujumbe ule!!!! Huyu jamaa awe ridhi ama sio ridhi but alikusudia kuwapa taarifa police na vyombo vya usalama nchini akiwa kama "UNKNOWN INFORMER" nitafanya ufupisho wa habari ile!!! "HII NAYO NI KAZI YA IKULU" maneno haya yanathibitisha wazi kabisa kuwa tukio la awali la kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka kulifanyika na IKULU, Hivyo basi mtoa taarifa alikuwa na lengo la kuwahabarisha maofisa wa usalama kuwa na hili la kuteswa Kibanda Ikulu inahusika na ndo mana akaja kwa njia ya "ANTI KLOKI WISE" yaani ameanzia kwa njia kama ya kutoka mwisho kuja mwanzo na kujifanya anauliza swali but hilo ni jibu!!!! Hivyo me nadhani police wwetu wawe makini sana na kamata kamata yao wasije wakawa wanaelekezwa vibaya na kujikuta wanakosa fact za uhakika!!!
 
:A S shade: Everyone shall REAP what he/sows,and who digs the pit shall fall in it,and if you want to cut a big tree you must have a very small sharp AXE.
 
Back
Top Bottom