Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za kuhusika kwa ikulu. Kati ya hizo alama ni kufanana kwa mateso ya Kibanda na Ulimboka. Lakini pia kupigwa kwake risasi kunafanana na namna Imran Kombe aliyekuwa mkuu wa usalama wa taifa.

Kibanda alinyolewa meno na kucha sawa na Ulimboka aling’olewa meno na kucha. Mateso ya Ulimboka yamehusishwa na Ramadhan Ighondu, afisa wa ikulu ya Kikwete. Pia Kibanda alikuwa na kesi na serikali kuhusu makala ya gazeti sawa sawa na jinsi Ulimboka na madktari walivyokuwa na mgogoro na serikali.

Pia Kibanda ametekwa na kuteswa baada ya gari la maafisa wa usalama kufuatilia gari lake wiki chache kabla ya kuteswa kwake. Vivyo hivyo gari la marehemu Imrani Kombe lilikamatwa Dar es Salaam likishukiwa na maafisa wa ‘’usalama’’ nchini. Baadaye aliuawa Moshi kwa kupigwa risasi na maafisa usalama wa nchi. Kufanana huku kwa kufuatiliwa gari la Kibanda na Imran Kombe kunaonyesha kuwa waliotumwa kufanya uhalifu huu walitaka kujiridhisha aina ya gari analoendesha Kibanda na Kombe.

Kombe inafanana nini sasa na ulimboka na kibanda...kiwadhifa Kombe alikua mtu wa usalama na mtu mwenye kujua siri nyingi za taifa, kombe hakuteswa alipigwa risasi tu wakati hao wengine wapo hai baada ya kuteswa bila ya watesaji wao kua na nia ya dhati ya kuwaua.

weka makusudio yako vizuri ukiandika thread mara nyingine
 
kwanini wasimteke Dr Slaa au Mbowe?
Its too risk na itatibua mikakati ya miaka mingi.kwanza ni too obvious hata kwa watu duni kifikra km ccm.Mungu yupo na watu wanamwomba na anasikia.matukio yanatokea prematurely na na wana mtandao na wahusika wakuu wanatoa kauli zinazowatoa mafichoni.
Huyo ndie Mungu chadema waliyesimama nae.huyo wa jehanum atakosea km watu wake na kuwaacha duni na uchi kila mara.
 
Kibanda amepigwa risasi?
 
Angalia picha za Mr. Kibanda katika Gazeti la mtanzania la leo (13/03/2013) inaonyesha jicho lililaathiriwa ni la kulia na ndio lililofunikwa lakini ukiangalia picha ya Gazeti la Tanzania daima la leo Jicho lililoathirika ni la kushoto na ndilo lililofunikwa.

hii nayo mnaionaje wakuu? imekaaje hiyo?

Hata kama ni magazeti tofauti jicho la kulia ni la kulia tu na la kushoto ni la kushoto tuu

nimejaribu kuatach hizi heading za magazeti ili muone tofauti vizuri lkn nimeshinda ila kama una magazeti ya leo ya Tanzania daima na la Mtanzania chunguza vizuri hizo picha utaona hiyo issue.

Issue ya tofauti ya picha ya upande wa jicho lililoathirika inategemea na hiyo picha amepigwa mhusika live au kutoka chanzo kingine let's say tv hiyo itakuwa imegeuka. muhimu hapo fuatilia mwandishi amesema ni upande gani, but all in all ndugu yetu kibanda amefanyiwa unyama ambao sisi sote ktk umoja wetu tunapaswa kuulaani!!
 
ingia youtube andika neno bukoba boy au fungua thred hapa jf inayosema chadema..hapa lwakatare alikuwa anamaanisha nini???
utapata maneno haya;

kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......

INASIKITISHA SANA SANA SANA.WAKATI FULANI UNAPO FIKIRI KUHUSU HATIMA YA Tz UNAJIKUTA MACHOZI MAZITO YENYE UCHUNGU MKUBWA JUU YA JAMII,NA MFUMO NZIMA WA UTAWALA WA NCHI YETU.Tuiombee kwa machozi nchi yetu ili MUNGU ATUEPUSHE NA MAJANJA mbalimbali.
 
Serikali yoyote DUNIANI ambayo ilitumia MKONO WA DAMU ktk kuwafunga watu MIDOMO,hiyo Dola HAIKUDUMU.
Ikumbukwe kutumia KUTESA,KUPIGA,KUJERUHI MTU NA UNYAMA WOWOTE UNAO FANANA NA HUU,Sio siraha ktk kunyamazisha JAMII ISISEME KILE WANACHO KIONA KWA MACHO KUWA SI SAHII. Kwa mtazamo wangu TUNAPASWA KUMLILIA SANA MUNGU Juu ya TAIFA LETU,Maana TUNAKOELEKEA NI KUBAYA SANA KAMA Serikali ILIYOPO MADALAKANI HAITA CHUKUA HATUA STAHIKI Kuzimbiti unyama huu unaofanywa na watu hawa wasio julikana,LAKINI WATAJULIKANA KAMA WATAAMUA KUWA TAFUTA KWELI KWA KWELI. Huu ni Mtazamo tu JAMANI......
 
Its too risk na itatibua mikakati ya miaka mingi.kwanza ni too obvious hata kwa watu duni kifikra km ccm.Mungu yupo na watu wanamwomba na anasikia.matukio yanatokea prematurely na na wana mtandao na wahusika wakuu wanatoa kauli zinazowatoa mafichoni.
Huyo ndie Mungu chadema waliyesimama nae.huyo wa jehanum atakosea km watu wake na kuwaacha duni na uchi kila mara.

Wanaona wakifanya hivyo watakuwa wamefungulia "Bomba la maji taka kuingia majumbani mwa watu nchi nzima"
 
Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za kuhusika kwa ikulu. Kati ya hizo alama ni kufanana kwa mateso ya Kibanda na Ulimboka. Lakini pia kupigwa kwake risasi kunafanana na namna Imran Kombe aliyekuwa mkuu wa usalama wa taifa.

Kibanda alinyolewa meno na kucha sawa na Ulimboka aling’olewa meno na kucha. Mateso ya Ulimboka yamehusishwa na Ramadhan Ighondu, afisa wa ikulu ya Kikwete. Pia Kibanda alikuwa na kesi na serikali kuhusu makala ya gazeti sawa sawa na jinsi Ulimboka na madktari walivyokuwa na mgogoro na serikali.

Pia Kibanda ametekwa na kuteswa baada ya gari la maafisa wa usalama kufuatilia gari lake wiki chache kabla ya kuteswa kwake. Vivyo hivyo gari la marehemu Imrani Kombe lilikamatwa Dar es Salaam likishukiwa na maafisa wa ‘’usalama’’ nchini. Baadaye aliuawa Moshi kwa kupigwa risasi na maafisa usalama wa nchi. Kufanana huku kwa kufuatiliwa gari la Kibanda na Imran Kombe kunaonyesha kuwa waliotumwa kufanya uhalifu huu walitaka kujiridhisha aina ya gari analoendesha Kibanda na Kombe.

Haifanani na ajali ya wangwe? Bado kidogo tu itafahamika!!
 
Two.JPG

Hivi ni Usalama wa Taifa au Uhasama wa Taifa? Je kama ni njia ya kumnyamazisha mtu hakuna njia nyingine mmejifunza hayo tu??? Hakuna ubunifu mwingine, kila kitu hadi Mzungu agundue nayi mkaiga??? Mbona haya ni ya kitambo cha ukoloni??? Wewe unayetenda unyama huu umezaliwa na mwanamke wewe kweli??? Unayo roho wewe!!! Unamwabudu Mungu yupi!!! Familia yako wanakuonaje wewe kwa kuwalisha fedha haramu kila mwezi kama mshahara wako kazi yake ndiyo hii rudi kijijini ukalime. NAFSI YAKO HAINA AMANI HADI KRISTO ARUDI
 
Kombe inafanana nini sasa na ulimboka na kibanda...kiwadhifa Kombe alikua mtu wa usalama na mtu mwenye kujua siri nyingi za taifa, kombe hakuteswa alipigwa risasi tu wakati hao wengine wapo hai baada ya kuteswa bila ya watesaji wao kua na nia ya dhati ya kuwaua.

weka makusudio yako vizuri ukiandika thread mara nyingine

Makusudio yako vizuri, nimeeleza kufanana kwa tukio la kushambuliwa kwa Kombe na Kibanda kuwa kumeacha alama za ikulu. Wote hawa walifuatiliwa na maafisa usalama kabla ya kushambuliwa.
 
View attachment 86990

Hivi ni Usalama wa Taifa au Uhasama wa Taifa? Je kama ni njia ya kumnyamazisha mtu hakuna njia nyingine mmejifunza hayo tu??? Hakuna ubunifu mwingine, kila kitu hadi Mzungu agundue nayi mkaiga??? Mbona haya ni ya kitambo cha ukoloni??? Wewe unayetenda unyama huu umezaliwa na mwanamke wewe kweli??? Unayo roho wewe!!! Unamwabudu Mungu yupi!!! Familia yako wanakuonaje wewe kwa kuwalisha fedha haramu kila mwezi kama mshahara wako kazi yake ndiyo hii rudi kijijini ukalime. NAFSI YAKO HAINA AMANI HADI KRISTO ARUDI

Wamefundishwa kuua na kushambulia wazalendo ili kulinda maslahi ya wenye visasi hata kwa viwete
 
Serikali yoyote DUNIANI ambayo ilitumia MKONO WA DAMU ktk kuwafunga watu MIDOMO,hiyo Dola HAIKUDUMU.
Ikumbukwe kutumia KUTESA,KUPIGA,KUJERUHI MTU NA UNYAMA WOWOTE UNAO FANANA NA HUU,Sio siraha ktk kunyamazisha JAMII ISISEME KILE WANACHO KIONA KWA MACHO KUWA SI SAHII. Kwa mtazamo wangu TUNAPASWA KUMLILIA SANA MUNGU Juu ya TAIFA LETU,Maana TUNAKOELEKEA NI KUBAYA SANA KAMA Serikali ILIYOPO MADALAKANI HAITA CHUKUA HATUA STAHIKI Kuzimbiti unyama huu unaofanywa na watu hawa wasio julikana,LAKINI WATAJULIKANA KAMA WATAAMUA KUWA TAFUTA KWELI KWA KWELI. Huu ni Mtazamo tu JAMANI......
Wataishia kuwa Idd Amin
 
Ukitaka kujua uwezo wa jeshi la polisi, ua kamanda mmojawapo. Samahani, nafuta kauli kabla sijafananishwa na Ustaadh Ilunga (Ingawa ni kweli alipouawa RPC Liberatus Barlow watuhumiwa walikamatwa baada ya siku chache)
 
INASIKITISHA SANA SANA SANA.WAKATI FULANI UNAPO FIKIRI KUHUSU HATIMA YA Tz UNAJIKUTA MACHOZI MAZITO YENYE UCHUNGU MKUBWA JUU YA JAMII,NA MFUMO NZIMA WA UTAWALA WA NCHI YETU.Tuiombee kwa machozi nchi yetu ili MUNGU ATUEPUSHE NA MAJANJA mbalimbali.

Ni sahihi, lakini kila mzalendo popote alipo, iwe ikulu, JWTZ, polisi. usalama wa taifa atilize wajibu wake kulinda nchi yetu dhidi ya mauaji na utesaji wa wazalendo
 
Back
Top Bottom